pechipechi
Senior Member
- Aug 27, 2017
- 157
- 308
Kati ya Alie wasababshia kifo watu na ambae akwenda msibani yupi Hafai?Siku nilpo ichukia CCM maisha yangu yote nisiku ambayo kivuko cha nyerere kilizama afu kada wachama chamapinduzi ambae ndio kiongozi waulinzi na usalama anasema tusitishe uokoaji adi kesho saa moja asubuh.wakat kunawatu wapo ndani yamaji wanagonga kuomba msaada.ivi Roho unaweza iambia ustoke paka kesho waje waniokoe?Tuliokulia ziwani tunajua fika wavuvi huvua usku tena kwanyenzo duni kabsa Kama kalabai,mitumbw.selikal ilshndwa nn kutumia nyeso Kama taa zasora,boti zainjin kuwaokogoa ndugu zetu sku ile?.;Niimani yangu hakuna mpumbavu tena waukelewe atakae woza ipa kura CCM ili ije iwauwe tena.Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .
Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA .Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
View attachment 1599647