Kweli kabisa mkuu hata matendo wanayofanya Polisi ni ya kichonganishi. Taahira yeye anafikri wako upande wake! Wanavyopiga raia ovyo ovyo wanaichafua serikali ili wananchi wachukue!Mbeleko kuu ya ccm ni tume ya uchaguzi.... Hawa polisi wameichoka ccm wanataka wananchi wakinukishe basi
Ccm wanahistoria hata ya kuwatesa wanaowapa Kula yao,kwa ujumla ni wale waliolaaniwa.Hawajui kuwa huo mwimbo ndio mnazidi kuwaghadhabisha Wananchi
Laana haijawahi kumwacha mwovu salama,wanayofanya ndio yanayowarahisishia wapenda haki kufanya maamuzi Bora na ya ushindi kwao.Kweli kabisa mkuu hata matendo wanayofanya Polisi ni ya kichonganishi. Taahira yeye anafikri wako upande wake! Wanavyopiga raia ovyo ovyo wanaichafua serikali ili wananchi wachukue!
Hicho nacho cha kusifia kabisa [emoji44][emoji44]Jana mh. aliwaonyesha maccm kwa vitendo kuwa mwaka huu wakileta zao kitanuka
Kashapata plan BTunaamini leo wavushaji hawatakimbia
Wewe ulienda?Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Ndipo tulipofikia kumnyamazisha mpinzani ni kumpiga mawe?Wakazi wa ukerewe msiniangushe kama ni shida kupatikana basi mkayatafute kwenye vifusi kama kunanyumba ilibomolewa mnayajaza kwenye viroba mnasogea nayo karibu.
Penye vituko Lumumba.Loser kama baba ako
Kama hukubakiki ,hukubaliki na sii kwa bahati mbaya,Bali kwakutaka kutikubalika,mpenda haki hawezi mkubali mwovu hats siku moja.Ndipo tulipofikia kumnyamazisha mpinzani ni kumpiga mawe?
Namuonea huruma mzee wako lile bao alilopiga ukapatikana wewe sijui kwanini hakutumia condom? Loser!!Loser kama baba ako
watu tumekuja kupata hela ya bia tu hapa,Kura kwa Lissu kama kawa.HUU hapa live acha uongo
Si uangalie LIVE kwenye TV uone kama hawakubaliki! Mbona mnajitia upofu ?? Hivi unatumia vigezo gani kwamba hawakubaliki ?. Mbelgiji wenu mikutano yake tu haipo live!.Wanatuhaadaa kuwa wanakubalika,ilhali hats watoto hawataki hata kuwasikia.
Mmeviteka vyombo vyote kutuaminisha mnakubalika,wakati mnawatisha kwa Sheria za hati za dharura mlizoanzisha,achana na watumishi mnaolazimisha mikutanoni,watoto was should na malori ya sanyasanya kuongeza idadi.Si uangalie LIVE kwenye TV uone kama hawakubaliki! Mbona mnajitia upofu ?? Hivi unatumia vigezo gani kwamba hawakubaliki ?. Mbelgiji wenu mikutano yake tu haipo live!.
Mkuu naamini unachangamsha jukwaa tu ila ogopa sana maneno uumba, acha kujiambukiza ugonjwa mbaya wa kuamini kila jambo baya linaletwa na adui yako....wakazi wa huku tunajua jinsi vivuko vinavyokuwana na karaha zake ndio maana tunawashanga mnapobeza ujenzi wa daraja la BusisiKwa mara ya kwanza alipofika Mwanza alishindwa kuhutubia Ukerewe baada ya wahudumu wa kivuko kutishwa , hivyo kuficha kivuko na kukimbilia kusikojulikana .
Hahahaaa naona mmepanikiSi uangalie LIVE kwenye TV uone kama hawakubaliki! Mbona mnajitia upofu ?? Hivi unatumia vigezo gani kwamba hawakubaliki ?. Mbelgiji wenu mikutano yake tu haipo live!.
Jana imepita salama ..Mungu ni mwemaIkiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya.
Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1599573
=======
Hujuma : Huduma ya kivuko kuelekea ukerewe imesitishwa tangu saa 3 asubuhi baada ya Lissu kufika kivukoni na wahudumu wameamrishwa kujivicha , tunaposema ccm imeishiwa huwa hatutanii
View attachment 1599697View attachment 1599698
Chombo gani cha habari kionyeshe matusi ya wagombea wenu wewe! Acheni kuvimbiwa ruzuku, anzisheni vyombo vyenu vya habari, sio kutegemea gazeti la Mbowe!Mmeviteka vyombo vyote kutuaminisha mnakubalika,wakati mnawatisha kwa Sheria za hati za dharura mlizoanzisha,achana na watumishi mnaolazimisha mikutanoni,watoto was should na malori ya sanyasanya kuongeza idadi.
Acheni uoga, Mara ya kwanza kiliharibika ghafla baada ya Lisu kufika kivukoni na leo pia kimeharibika ghafla baada ya Lisu kufika tena! Acheni ushamba na kuwaona watz wajinga.Mkuu naamini unachangamsha jukwaa tu ila ogopa sana maneno uumba, acha kujiambukiza ugonjwa mbaya wa kuamini kila jambo baya linaletwa na adui yako....wakazi wa huku tunajua jinsi vivuko vinavyokuwana na karaha zake ndio maana tunawashanga mnapobeza ujenzi wa daraja la Busisi