Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.

Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea kinachoendelea kila anapopita.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.

Instagram media - CGiWIDtAyF4 ( 640 X 640 ).jpg

========

Lushoto

Mlalo

Subpost 2 - Mlalo Rangwi. ( 426 X 640 ).jpg

Subpost 3 - Mlalo Rangwi. ( 426 X 640 ).jpg
 
Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.

Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea kinachoendelea kila anapopita.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.

View attachment 1605808

========
Anafanya utalii maana soon anarudi ulaya kula bata.
 
Nini hatima ya majimbo 60 ubunge na madiwani zaidi ya 1000 , CDM watupe majibu pingamizi. Si haki kunyima na kuzuia haki ya mtu kikatiba kugombea ilihali kigezo muhimu ni kujua kusoma na kuandika wala si kukosea herufi na vijisababu vya hovyo.
 
Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.

Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea kinachoendelea kila anapopita.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.

View attachment 1605808

========
All the best
 
Huu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.

Kwa nini Membe?

1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.

Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
 
Tunasubiri tu trh 28.10 Tanzania imeshafanya maamuzi bado tu tuyaidhinishe....
Makundi haya yote wana jambo lao trh hiyo
1. Wafanyakazi wa Umma na Binafsi.
2. Wakulima.
3. Wafanyabiashara wakubwa na wadogo (Machinga).
4. Wavuvi.
5. Wafugaji
nk nk nk
 
Back
Top Bottom