Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu ni Rais ajae zimebaki siku tuAnafanya utalii maana soon anarudi ulaya kula bata.
Unawasemea watanzania wepi labda hao wa hapo nyumbani kwako unaowaachia elfu tano ya mlo kwa sikuAnapoteza muda bure,watanzania hawana imani nae.
Weeeee ndio umewaza utopolo kabisa yaani lissu ashinde apewe membe watakiwa hawajipendiHuu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.
Kwa nini Membe?
1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.
Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
Kwa wizi uliotukukaCCM tutaimiss sn baada ya tarehe 28/10/2020
😆😆😆Jane Lowassa njoo huku Lissu anamshughulikia January
Hili si la kuacha lipite.Nini hatima ya majimbo 60 ubunge na madiwani zaidi ya 1000 , CDM watupe majibu pingamizi. Si haki kunyima na kuzuia haki ya mtu kikatiba kugombea ilihali kigezo muhimu ni kujua kusoma na kuandika wala si kukosea herufi na vijisababu vya hivyo.
Kanyaga twende TAL. Mungu akutangulie.Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.
Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea kinachoendelea kila anapopita.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
View attachment 1605808
========
sema wew huna iman naye msha zoeya kuwa kama mapunda endeleeniAnapoteza muda bure,watanzania hawana imani nae.
KabisaKwa wizi uliotukuka
Aiseee !!sema wew huna iman naye msha zoeya kuwa kama mapunda endeleeniView attachment 1606092
Propaganda za kike.sema wew huna iman naye msha zoeya kuwa kama mapunda endeleeniView attachment 1606092
Bro unasemaje eti? Kwa mara ya ngapi shetani ataona aibu? Ya kwanza?Huu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.
Kwa nini Membe?
1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.
Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
Maono ya chama chao ni kuweza kutokomeza haya ifikapo 2025. Tuhifadhi hukumu yetu hadi hapo (ikiwa tutawapa ridhaa ya kuendelea).sema wew huna iman naye msha zoeya kuwa kama mapunda endeleeniView attachment 1606092
kwa hivyo we una imani na yule fyetu?!.Anapoteza muda bure,watanzania hawana imani nae.
Wewe una mind hayo 100?? Mwaka 2015 hatukusimamisha madiwani kata 2000, majimbo 90? Sasa tumekosa 1000 kwa hila ambapo mafanikio ni makubwa yanaenda kutokea kuliko wakati mwingine. Kwetu bado ni nafuu ndio maana ilikuwa tishio kwa CCMNini hatima ya majimbo 60 ubunge na madiwani zaidi ya 1000 , CDM watupe majibu pingamizi. Si haki kunyima na kuzuia haki ya mtu kikatiba kugombea ilihali kigezo muhimu ni kujua kusoma na kuandika wala si kukosea herufi na vijisababu vya hovyo.
Atatangazwa tu.Uchambuzi wangu wa kijasusi unaonesha Lissu anapata kura nyingi kumshinda mpinzani wake. Kumtangaza ndipo itakapokuwa shida kwani kitendo cha yeye kuwa rais mpinzani wake anaweza kuburuzwa ICC jambo ambalo hayupo teyari kwenda mahakamani