Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Weeeee ndio umewaza utopolo kabisa yaani lissu ashinde apewe membe watakiwa hawajipendi
 
Kanyaga twende TAL. Mungu akutangulie.
 
Bro unasemaje eti? Kwa mara ya ngapi shetani ataona aibu? Ya kwanza?

No, No, No...

Shetani kwa mara kwanza na ya mwisho alionaga aibu miaka 2000 iliyopita alipoachiaga FUNGUO ZA UTAWALA na UMILIKI na za KUTIISHA na kuzikabidhi mwenyewe kwa lazima mikononi mwa Mfalme wa Wafalme - YESU KRISTO...!

Funguo hizo siku hiyo akatukabidhi mimi na wewe kwa ajili ya KUFUNGA na KUFUNGUA lolote lililo mapenzi ya Mungu tutakalo (Math.16:19 na 18:18)

Ndiyo maana imeandikwa mahali kuwa;

".....nimewapa mamlaka ya kukanyaga NYOKA na NGE pamoja na NGUVU ZOTE ZA YULE MWOVU na lolote mtakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa na mbinguni na lolote mtakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni...."

Utawala huu MUOVU wa CCM na MAGUFULI si mapenzi ya Mungu. Ni lazima ufungwe na kutupiliwa mbali..

Shetani asituhadae. Asitudanganye. Hana nguvu wala mamlaka kuwaweka watu kuwa "captives" wake kwa kutumia mawakala wake hawa kina Magufuli na CCM yake..

Amini hivyo. Chukua hatua ya matendo baada ya kuamini. Twendeni tukapige kura. Twendeni tukampige shetani maana imeandikwa mahali;

"....mpingeni shetani naye atawakimbia...."

Kila kheri kwa kila mwana JF mzalendo na mpenda HAKI na AMANI...!!
 
lisu hawez shida uchaguzi huu Mungu endelea kumpigania magufuli
 
Nini hatima ya majimbo 60 ubunge na madiwani zaidi ya 1000 , CDM watupe majibu pingamizi. Si haki kunyima na kuzuia haki ya mtu kikatiba kugombea ilihali kigezo muhimu ni kujua kusoma na kuandika wala si kukosea herufi na vijisababu vya hovyo.
Wewe una mind hayo 100?? Mwaka 2015 hatukusimamisha madiwani kata 2000, majimbo 90? Sasa tumekosa 1000 kwa hila ambapo mafanikio ni makubwa yanaenda kutokea kuliko wakati mwingine. Kwetu bado ni nafuu ndio maana ilikuwa tishio kwa CCM
 
Uchambuzi wangu wa kijasusi unaonesha Lissu anapata kura nyingi kumshinda mpinzani wake. Kumtangaza ndipo itakapokuwa shida kwani kitendo cha yeye kuwa rais mpinzani wake anaweza kuburuzwa ICC jambo ambalo hayupo teyari kwenda mahakamani
Atatangazwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…