TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ask your mom she knows my secret about that...Unawaza na wowowo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ask your mom she knows my secret about that...Unawaza na wowowo...
CCM wanashangaa Lissu anapataje watu kwenye mikutano yake wakati hatangazwi na main stream media yoyote.Aiseee mpaka Tanga wanataka mabadiliko? Kweli Lissu ni shujaa wa kizazi hiki.
This time huenda tutapata majimbo mawili au matatu Tanga.Ngome ya CCM Lushoto imebomoka leo tena. Daah magufuli umepoteza sana muda aisee.
Ni ngumu sana kuitoa ccm madarakani,wana miziz mikubwa kama miti ya mibuyu,na hata ukitanzama kwa jicho la mbali bado itatawala sana,zile 58% alizopata Magu mwaka 2015 zinaongezeka mara dufu mwaka huu,ni uchaguz mwees sana kwa CCM,,
Na mbaya zaid hata ukiangalia upande wa pili ni watu ambao hata wakipewa nchi ni ngumu sana kuunda serikali maana kule makarai ni mengi mno
Lissu ni Rais hakuna wa kubisha!!
Mbona wewe na mumeo ni makarai yaliopitiliza?CCM mnatia huruma sana siku hizi.
Una akili timamu ?Ni ngumu sana kuitoa ccm madarakani,wana miziz mikubwa kama miti ya mibuyu,na hata ukitanzama kwa jicho la mbali bado itatawala sana,zile 58% alizopata Magu mwaka 2015 zinaongezeka mara dufu mwaka huu,ni uchaguz mwees sana kwa CCM,,
Na mbaya zaid hata ukiangalia upande wa pili ni watu ambao hata wakipewa nchi ni ngumu sana kuunda serikali maana kule makarai ni mengi mno
hakuna ubishiLissu ni Rais hakuna wa kubisha!!
Itapendez zaidi. Na watanga nao wajisikie Furaha. Inafurahisha kuongozwa na upinzani aiseeThis time huenda tutapata majimbo mawili au matatu Tanga.
Ni ngumu sana kuitoa ccm madarakani,wana miziz mikubwa kama miti ya mibuyu,na hata ukitanzama kwa jicho la mbali bado itatawala sana,zile 58% alizopata Magu mwaka 2015 zinaongezeka mara dufu mwaka huu,ni uchaguz mwees sana kwa CCM,,
Na mbaya zaid hata ukiangalia upande wa pili ni watu ambao hata wakipewa nchi ni ngumu sana kuunda serikali maana kule makarai ni mengi mno
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.ENDELEA KUOTA
Kushoto, Korogwe vijijini na Muheza huenda tutashinda.Itapendez zaidi. Na watanga nao wajisikie Furaha. Inafurahisha kuongozwa na upinzani aisee
hakuna ubishi