Live coverage on JamiiForums
Sasa wewe unabishana mpaka na IDF wenyewe wanakwambia " some of which were intercepted " means some hitting the target or fell in an open areas. Hawakuoneshi hizo 🤣
Pia lengo la kutuma rundo la madrone huwa ni kuishosha hizo Irone dones batteries ili baadae vitumwe vitu vizito bila kupanguliwa. Ndio maana enzi zile za vita na hamas wakati inaanza makombora mengi yalirushwa ikabidi US itume msaada wa kuziboost hizo iron domes.
 
Hizo irone dome kwa sasa zenyewe zina malfunction kwakifupi watafute airdefence nyengine hizo zikikutana na vitu vizito zinageuzia njiani.
 
Israel ingekuwa dhaifu UAE na Qatar zingekuwa zilisha ichafua na vikundi vya kigaidi
 
Reactions: bCg
Israel baada ya kuvamiwa 7 oct. pamoja na uwezo wake katika Vita na vifaa vyenye technologia ya juu katika ulinzi haijiamini tena!
Yes vita sio rahisi ..na hapo ni gaza sehem anapopamulika kama glass na drone za kila aina ...lakin I'm fanya uchumi uparangayike ghafla
 
Katika sehemu zote mie namuogopa YEMENI HOUTHI KULIKO IRAN.
HOUTHI wameonekana kushindikanika mzee,kama mpaka sasa wameifunga bahari nyekundu/red sea aisee hawashindwi kuzuia USA kupita kuja kutoa msaada.
Mbaya zaidi Yemeni ni taifa lisilokua na la kupoteza hawahofii kitu bora hata Iran anavyo vya kupoteza hivyo hofu anayo ndio maana anajivuta kulipiza kisasi.
Ila Yemeni hapana aisee hao jamaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Iran bin Kareem Mandonga.

alipouwawa Qasem Soleimani kamanda wa juu wa Iran,kisha Iran wakatoa mikwala mingi kisha wakasanda,tokea hapo nimeacha kabisa kuamini mikwara ya Iran.
Hamas
tu ndio sio waongo wakisema wamesema.
Labda hufuatilii habari.
KIfo cha Soleiman kilishafanyiwa retaliation kwa kupigwa kambi moja ya USA pale Iraq,au hutizami habari mkuu!?
Pia Iran position aliyokua nayo anastahili kusita kwa sababu kuu mbili.
1)Ana maadui wakubwa US,UK na EU karibuni yote,hivyo Israel akiguswa hatopigana na Israel bali na NATO.
2)Iran teyari anachechemea kwa vikwazo vya kiuchumi direct confrontation itamfanya awe kiwete kabisa kiuchumi.
 
Israel ingekuwa dhaifu UAE na Qatar zingekuwa zilisha ichafua na vikundi vya kigaidi
Kwahiyo kuitibua nchi mpaka itibuliwe na makundi ya kigaidi!?
Mbona Iran anaichachafya Israel kupitia Hizbollah na Israel imepewa hasara nyingi na Hizbollah mwaka huu!?
Israel dhaifu ila USA na UK na wamagharibi waliobaki wanailea hii nchi,laa sivyo ingekua kwishnei.
We uvamizi wa Hamas tu USA na UK wamepeleka jeshi la maji na manowari za kutosha kuisapoti Israel kisa wanamgambo Hamas tu.
 
Mtu anaie shabikia hii vita kwa kutumia hisia na mahaba Ndio zao kuropoka bila evidence yoyote ni watu wa ku wa ignore wajifurahishe mioyo yao ukimwambia weka ushahidi wako mezani atabaki na vijistori vya kwenye kahawa
 
Aisee mbona hiyo habari umeileta kiushabiki na wewe?
Hizo zilizopigwa ni rockets mzee.
Tena ni light rockets,ila karejelee habari ya miezi miwili ilopita ya Hizbollah kutumia Guided missiles ambazo Iron dome zilishindwa kuzidungua zikaharibu kambi mbili za North Israel ikiwemo Galilee.
Yani iron dome ina uwezo wa kudungua rockets tu ila hazina uwezo wa kudungua guided missiles.
Nakusisitiza hizo ni rocket jiulize Hizbollah ikiamua kutumia tena guided missiles itakuaje?
 
Naunga mkono. Ukiangalia hizo rocket jinsi zinavyoruka nashindwa kuelewa mwendo wake. Kama konokono. Hata zikipigwa unaona tu mwanga basi.
 
Ila kwa taarifa za leo. Kuna % nyingi kinaenda kuwaka. Hizbollah wameishambulia israel kwa rocket zaidi ya 50 leo.
Respond yake ndio inaenda kuamsha popo
 
Ila kwa taarifa za leo. Kuna % nyingi kinaenda kuwaka. Hizbollah wameishambulia israel kwa rocket zaidi ya 50 leo.
Respond yake ndio inaenda kuamsha popo
roket kawaida hizo zipogo tu, US anaisogeza manowar yake taratiib Haytollah ajichanganye tu anavuliw dera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…