LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Israel kweli ni taifa teule rockets zote zinaishia angani tu ajabu wananchi wanazichukulia hizi rockets kama vile fashi fashi zunazopigwa siku ya mapinduzi kule Zanzibar yaan hawana hofu kabisa
Walimkataa mfu wenu
 
Netanyau na cabinet yake wameonekana wakipanda ndege na kuondoka telaviv, haijulikani wanaelekea wapi.

Aidha wamelikoroga sasa wanakimbia au kuna uwezekano wakatowa command ya kufyatua nuclear bombs kutokea kwenye hiyo ndege.
 
Nafikiri tumekubaliana BABA WA MIDDLE EAST no IRAN ujumbe umefika
Tunasubiri Majibu ya ISRAEL tuone moto utawakaje
ISRAEL akijibu direct kutoka kwake kwenda IRAN basi hii itadhiirisha ISRAEL ni mwanaume
Hapo sasa ngoma itakuwa mbichi
Tutegemee F 15 zikimwaga cheche TEHRAN
wakati huo sasa zike BOMB halisi za kukata na shoka zikitumwa kuifuta ISRAEL katika uso wa dunia
 
Back
Top Bottom