Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...Hiyo ni mikwara Tu...... mwanaume kashatia mguu.....
Safari hii Israel hachomoki