LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Hiyo ni mikwara Tu...... mwanaume kashatia mguu.....

Safari hii Israel hachomoki
Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...
 
Hizi ndo habari ninàzozipenda, muda wa Israeli kuwafanyia fujo nchi zingine kwa kuwa anajua hawezi kuguswa inabidi ufike mwisho. Nasikia mpango ni kutuma drones kuukeep busy mfumo wa ulinzi wa anga halafu zinatumwa ballistic missiles. Hata zikiwa intercepted ni somo tosha kwa myahudi na next time atawaza mara mbili kabla ya kuwachokoza wenzie
Natafuta bando la GB 10.

Hio show ya muajemi I wish aachiwe myahudi mwenyewe apambane nayo
 
Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...
Huyo Hamas tu ambacho ni kikundi cha wahuni wakishindwa watawaweza waajemi...........
 
Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...
Kwenye thread za wanaume hatu taki wavulana wa ku comment mahaba ya taarabu
 
Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...
Kwani si tumekubaliana Iran hamuwezi Israel .

Why mnamtaja US sana?
 
Hehe...mtakapoanza kulia humu "tuiombee Iran" pia usisahau kicheko chako hiki.
kwanza nafurahi kuona na wao wanatwanga sio kutuletea silaha Africa kuuwana sisi kwa sisi acha na wao watandikane.
nachoshangaa how come muafrica masikini na njaa zake eti analia kupata uchungu kwenye hizo vita🤣😅
bogus kabisa hii wumbwa.
 
Mbona hata wewe utalia tu, impact ya hii vita kiuchumi itakuwa kubwa sana kwetu, ngoja Iran itapopigwa penyewe utaona Kwa mf. bei ya mafuta itavyopaa...
 
Back
Top Bottom