FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakitoka draw kanji kakuumiza🤣😅hapa naBet double chance, uwaneni..
mimi nko zangu nyumbani kwangu nawafuatilia kupitia mtandao.
Watanukishwa wao wenyeweIran wameshakinukisha.
Wamefanya kosa kubwa Sana ambalo sikutamani walifanya waengendelea kujenga uchumi waoIran wameshakinukisha.
The begging end of Ayatollah regimeTHE BEGINNING OF THE END OF ISRAHEL.....
Hilo lisikutishe, mambo ya kutishanaWatanukishwa wao wenyewe
Wanaoingia vitani Iran, hofu unapata wewe.Wamefanya kosa kubwa Sana ambalo sikutamani walifanya waengendelea kujenga uchumi wao
Wamedhirisha kauli yao ya muda mrefu kwa vitendo ya kutaka kufuta Israel kwenye ramani ya dunia
Majibu ya Israel yatakuwa zaidi ya Gaza ,
Soon mtaanza kusema ceasefire to Iran
SIONI ISRAHEL AKISHINDA VITA HII......The begging end of Ayatollah regime
Alisikika Mmatumbi mmoja kutoka Mpitimbi.THE BEGINNING OF THE END OF ISRAHEL.....
MOVIE IMESHAANZA.....NGOJA TUONE.....MWANAUME AMESHAANZA KAZI....Alisikika Mmatumbi mmoja kutoka Mpitimbi.
Kwani kati ya Israel na Iran ni nani kamchokoza mwenzake?Wamefanya kosa kubwa Sana ambalo sikutamani walifanya waengendelea kujenga uchumi wao
Wamedhirisha kauli yao ya muda mrefu kwa vitendo ya kutaka kufuta Israel kwenye ramani ya dunia
Majibu ya Israel yatakuwa zaidi ya Gaza ,
Soon mtaanza kusema ceasefire to Iran
Atajuta...kaingia kwenye mtego alokuwa akitafutwa anase miaka mingi.MOVIE IMESHAANZA.....NGOJA TUONE.....MWANAUME AMESHAANZA KAZI....
Hiyo ni mikwara Tu...... mwanaume kashatia mguu.....Atajuta...kaingia kwenye mtego alokuwa akitafutwa anase miaka mingi.