LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Netanyahu kachokoza wahuni alafu ye kakimbilia marekani anawaachia wayahud msala
Screenshot_20240407_220312_Quora.jpg
 
Mashoga yana kimbia
 
Attachments

  • GLE0L_8XwAAMO-X.jpeg
    GLE0L_8XwAAMO-X.jpeg
    83.7 KB · Views: 3
  • GLEpv1PXcAAwr0X.jpeg
    GLEpv1PXcAAwr0X.jpeg
    73.6 KB · Views: 3
The spokeswoman for the National Security Council at the White House confirmed that Iran had launched a strike toward Israel and vowed to help Israel defend itself: “Iran has begun an airborne attack against Israel. President Biden is being regularly updated on the situation by his national security team and will meet with them this afternoon at the White House. His team is in constant communication with Israeli officials as well as other partners and allies."
 
Iran wameshakinukisha.
Wamefanya kosa kubwa Sana ambalo sikutamani walifanya waengendelea kujenga uchumi wao

Wamedhirisha kauli yao ya muda mrefu kwa vitendo ya kutaka kufuta Israel kwenye ramani ya dunia

Majibu ya Israel yatakuwa zaidi ya Gaza ,
Soon mtaanza kusema ceasefire to Iran
 
Wanaoingia vitani Iran, hofu unapata wewe.
Unawapenda sana Iran eeh?
 
Wamefanya kosa kubwa Sana ambalo sikutamani walifanya waengendelea kujenga uchumi wao

Wamedhirisha kauli yao ya muda mrefu kwa vitendo ya kutaka kufuta Israel kwenye ramani ya dunia

Majibu ya Israel yatakuwa zaidi ya Gaza ,
Soon mtaanza kusema ceasefire to Iran
Kwani kati ya Israel na Iran ni nani kamchokoza mwenzake?
 
Back
Top Bottom