Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Walimkataa mfu wenuIsrael kweli ni taifa teule rockets zote zinaishia angani tu ajabu wananchi wanazichukulia hizi rockets kama vile fashi fashi zunazopigwa siku ya mapinduzi kule Zanzibar yaan hawana hofu kabisa
Unadhani yeye Iran hana air defence systems......Sasa mwenzeke amepata sababu ya kumpiga
Na atatuma yafika Tehran
Pitua tena vizuri posts za juu kidogo, makombora mengine yashatuwa.
Yamekuwa haya mara hii π€£ π€£ π€£Hata kama hayajafika lakini ni ujumbe kuwa waajemi sio watu wa mchezo mchezo
Kuna kombora la maana limerushwa ?Israel kweli ni taifa teule rockets zote zinaishia angani tu ajabu wananchi wanazichukulia hizi rockets kama vile fashi fashi zunazopigwa siku ya mapinduzi kule Zanzibar yaan hawana hofu kabisa
Najua huwezi kupenda......Yamekuwa haya mara hii π€£ π€£ π€£
Sijapenda
Wamerusha kila walichonachoKuna kombora la maana limerushwa ?
Upo cocobeach unauliza baharini wapi? Jionee:Wanangu wa Hamas rusheni hata mawe bas kama makombora yameisha.
naweka alama hapanajua na naomba Mungu kabisa iwe hivyo vita ikolee Dunia ipate matokeo ili sasa wakikaa kuamuana waheshmiane.
hao wakubwa huko wakiamuana kila mmoja ajue akizingua watatandikana.
Hahaha...mnaanza kuhamisha goli? huoni wao washasema inatosha endapo Israel hatajibu?Kuna kombora la maana limerushwa ?
WameRetaliate.Hahaha...mnaanza kuhamisha goli? huoni wao washasema inatosha endapo Israel hatajibu?
Makombora mangapi yameimpact target zake??πMlosema Iran ni mbwakoko kiko wapi?
Wavaa kobazi wana funza kichwaniMakombora mangapi yameimpact target zake??π
Mbona wanaomba Israel wasijibu? midrones zaidi ya 200 na mamia ya makombora yamepanguliwa, walidhani Israel ni Ukraine enh..ππMlosema Iran ni mbwakoko kiko wapi?