Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hizo Kamikaze ni za Kichokozi... Watu wanaamini Israel ataamka tu na kurusha bila assesment.Nafikiri tumekubaliana BABA WA MIDDLE EAST no IRAN ujumbe umefika
Tunasubiri Majibu ya ISRAEL tuone moto utawakaje
ISRAEL akijibu direct kutoka kwake kwenda IRAN basi hii itadhiirisha ISRAEL ni mwanaume
Hapo sasa ngoma itakuwa mbichi
Tutegemee F 15 zikimwaga cheche TEHRAN
wakati huo sasa zike BOMB halisi za kukata na shoka zikitumwa kuifuta ISRAEL katika uso wa dunia
NoneAny casualty so far upande wa ZION??????
Hawajaomba ....Mbona wanaomba Israel wasijibu? midrones zaidi ya 200 na mamia ya makombora yamepanguliwa, walidhani Israel ni Ukraine enh..😆😆
Imepanguliwa na Nani?Mbona wanaomba Israel wasijibu? midrones zaidi ya 200 na mamia ya makombora yamepanguliwa, walidhani Israel ni Ukraine enh..😆😆
Mtoto mmoja wa Miaka 10 amefarikiAny casualty so far upande wa ZION??????
Bado mapema sana, tuwe watulivu walau kwa mwezi mmoja tutaona mwamba nani.Mlosema Iran ni mbwakoko kiko wapi?
Uko dunia ya pekeako nadhani, unazungumzia mchunga mbuzi alokutwa amekufa juzi na kusababisha settlers wa kiyahudi kulipiza kisasi kwa kuwapelekea moto wapalestina west bank ka sijakosea.Mtoto mmoja wa Miaka 10 amefariki
Kuna mtoto amepigwa kichwani babu... Punguzeni ubishi.Uko dunia ya pekeako nadhani, unazungumzia mchunga mbuzi alokutwa amekufa juzi na kusababisha settlers wa kiyahudi kulipiza kisasi kwa kuwapelekea moto wapalestina west bank ka sijakosea.
Mimi nachotaka Israel ajibu..Updates:Kambi kuu ya Negev ya Israel yachomwa na makombora ya Iran
The most important air base of the Israeli in Negev was targeted by Iranian missiles. Network 12 of the regime has confirmed that 7 missiles hit this important airbase of the regime
Hii Tumeiona tayar ..⚡️Al Jazeera :
4 Ballistic missiles hit the Ramon air base in Israel's Negev desert