Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hizo Kamikaze ni za Kichokozi... Watu wanaamini Israel ataamka tu na kurusha bila assesment.Nafikiri tumekubaliana BABA WA MIDDLE EAST no IRAN ujumbe umefika
Tunasubiri Majibu ya ISRAEL tuone moto utawakaje
ISRAEL akijibu direct kutoka kwake kwenda IRAN basi hii itadhiirisha ISRAEL ni mwanaume
Hapo sasa ngoma itakuwa mbichi
Tutegemee F 15 zikimwaga cheche TEHRAN
wakati huo sasa zike BOMB halisi za kukata na shoka zikitumwa kuifuta ISRAEL katika uso wa dunia
Kwa hamas tu ilichukua wiki kuamua kuvamia .