LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Hawezi!

Kwanza sasa hivi wanafanya kazi ya kudhibiti hizi taarifa ili ionekane mifumo yao imefanikiwa kudhibiti makombora ya Iran kwenye anga lao.

Ndoyo yale yale ya Russia na Ukraine. Propaganda nyingi kuwa Russia anashindwa wakati maeneo ya Ukraine yanazidi kumegwa.
Tatizo kwenye ulimwengu wa sasa hakuna namna yeyote unaweza ficha ukweli.
 
Duh, nafikiri Mrusi amemsaidia sana Iran kwenye teknolojia ya silaha! Iran peke yake asingeweza kutumia hypersonic missiles! Makombora yamefanya uharibifu mkubwa kwenye sehemu muhimu!

Iran struck ‘important’ Israeli military targets – IRGC (VIDEOS)​


A large-scale missile and drone attack against Israel has been a success, Iran’s Revolutionary Guard Corps has said in a statement published by IRNA news agency. The Islamic Republic’s military managed to hit and destroy” some “important military targets


Multiple IDF sites have been “hit and destroyed,” the Islamic Republic’s Revolutionary Guard Corps has claimed


Msii underestimate Iran.
Iran inajiaweza kiteknolojia .
 
Ngoja tuone hii vita badae tusije kusikia Israel anaua watoto na wanawake. Uzuri bado tupo.
 
Kaa na kukaririshwa na mabeberu kwamba wana nguvu za kijeshi wakati ni mapunga tu. Iran kashusha mvua ya makombora ndani ya ardhi ya matapelei wa kizayuni na hakuna kitu atafanya Israel.
Israel ndio alianza kushambulia ubalozi wa Iran, haya ndio majibu ya Iran akisaidiwa na nchi nyingine nne, kikubwa tunasubiri majibu ya Israel yatakuwa yapi!
 
Piga hesabu, makombora ya dollar elfu kumi yanatunguliwa na makombora ya Dollar million saba kila moja.

Pitia clips juu huko, ile eyapoti imesambaratishwa na nini?
Ww unajal pesa iliotumika ni hiv ingekiw Israel amefire the same kwa Iran..je air defense ya Iran ingemudu??
 
Only few reached targets Israel air security is strong war escalation is a serious offense in my opinion I do believe Israel will retaliate strongly
 
Mleta mada acha siasa za upande. Hapo kwenye Israel is defenseless una proof ipi? So far Israel ameintercept kwa mafanikio makubwa attacks zote alizotumiwa.

Ni vizuri kufikiria at this moment busara zaiwaongoze wote wawili but so far Israel is by far more powerful kwa matokeo ya usiku wa kuamkia leo.
 
Israel ndio alianza kushambulia ubalozi wa Iran, haya ndio majibu ya Iran akisaidiwa na nchi nyingine nne, kikubwa tunasubiri majibu ya Israel yatakuwa yapi!
Israel alishambulia ubalozi uliopo Syria ila Iran kavurumisha ndani ya Israel moja kwa moja.
 
Only few reached targets Israel air security is strong war escalation is a serious offense in my opinion I do believe Israel will retaliate strongly
Na Iran anasubiri Israel ajibu ili apewe dozi kamili maana Muajemi huwa hana fake promise.
 
Usichezee hypersonic missiles! Mara nyingi hupelekwa chache kwani zenyewe pia zipo chache! halafu hupita zote!


Kama unatumia akili kuliko mahaba basi utajua kuwa madhara ni makubwa! Hii ni lugha ya kivita imetumika hapa! Hapa Mrusi alicheza kwenye hii teknolojia!

IDF confirms ‘minor damage’ to military base​



Iran launched more than 300 drones and missiles against Israel, the military has said


only a few of the ballistic missiles made it past the IDF’s air defenses, hitting Nevatim Airbase in southern Israel and inflicting
“minor damage.”


 
Back
Top Bottom