LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Makombora 300 alafu 7 tu ndio yanaanguka Ardhini 😂😂😂
Ukumbuke bila msaada wa Marekani, Uingereza na Ufaransa wa kuanza kutungua makombora kuanzia Jordan. Vinginevyo Israel sahizi ingebaki majivu.

Israel waendelee kuwatumikia mabwana zao Marekani na Uingereza ili wawasaidie ulinzi vinginevyo atapigwa na Iran hadi achakae.
 
Ww unajal pesa iliotumika ni hiv ingekiw Israel amefire the same kwa Iran..je air defense ya Iran ingemudu??
Vita ni strategy kijana, wewe unaamini kuwa hakuna kilichosambaratishwa kwa mazayuni?

Iran wanalipa kisasi cha kupigiwa ubalozi wao na kuuliwa watu wao.

Hujaliona hilo?

Au ulitaka wakipigwa la kulia wageuze na la kushoto?
 
Vita ni strategy kijana, wewe unaamini kuwa hakuna kilichosambtratishwa kwa mazayuni?

Iran wanalipa kisasi cha kupigiwa ubalozi wao na kuuliwa watu wao.

Hujaliona hilo?

Au ulitaka wakipigwa la kulia wageuze na la kushoto?
Soon iran analiwa kiboga
 
Mleta mada acha siasa za upande. Hapo kwenye Israel is defenseless una proof ipi? So far Israel ameintercept kwa mafanikio makubwa attacks zote alizotumiwa.

Ni vizuri kufikiria at this moment busara zaiwaongoze wote wawili but so far Israel is by far more powerful kwa matokeo ya usiku wa kuamkia leo.
Hukusikia kuwa kasaidiwa na Marekani,Uingereza na Jordan kupopoa makombora powerfull ipi unayosemea
 
VIDEO MASHAMBULIZI YA IRAN NCHINI ISRAEL.
 

Attachments

  • Israel Membara! Detik-detik Pangkalan Militer IDF Meledak & Terbakar Habis D_HIGH.mp4
    6.8 MB
Situational assessment more than 200 uavs and missiles zimerushwa na Iran na kuzuiwa.

There minor material damage in only one air base
Hiyo minor material demage in only one air base waioneshe Israel ili tuone... Mainstream media zote zakimagaribi haijaonesha lakin from mtandao wa X tunaona ballistik missiles km 5 zikigonga hiyo airbase hosting F-35 jets vip km hizo Jet zimehaeibiwa hakuna anaejua maana hizi taarifa zinafichwa na US pamoja na Israel yenyewe... Ikumbukwe aya madude yamerushwa umbali wa zaidi ya 1500Km yani urushe drone from Dar up to Uganda ndo ujue kweli Shaheed kamikaze drone ni long range attack drone ever made by Iran
 
Mkuu wa jeshi la Iran ameionya Israel isijaribu kujibu maana itakutana na zahma. Tayari marekani amemwambia Netanyahu hawashiriki kuishambulia Iran. Nchi za kiarabu ambapo kuna kambi za wamerikani zimetoa taarifa kuwa hawataruhusu marekani kutumia anga zao kuipiga Iran.

Iran imetoa ONYO nchi yeyote itakayoruhusu ardhj yake au anga kuishambulia Iran basi itakutana na majibu mazito. Kila mtu anaogopa.
 
Vita ni strategy kijana, wewe unaamini kuwa hakuna kilichosambaratishwa kwa mazayuni?

Iran wanalipa kisasi cha kupigiwa ubalozi wao na kuuliwa watu wao.

Hujaliona hilo?

Au ulitaka wakipigwa la kulia wageuze na la kushoto?
Kwahyo unataka kusema Israel Ali attack Iran embassy pale Syria in the akitaka michezo ya piga nikupige au analake jambo inmyhonestopinion alitaka hii response Ili aingie Iran rasmi kumbuka ana backup ya west allies Biden ana act et hawez attack Iran pamoja nae ila ukwel ni kwamba netanyau akistrike Iran allies wao watakua nyuma kudefense Incase Iran akijibu mapigo na tambua Israel ata respond strong kabisa
Us imesema haitahusika kwenye offense phase(kuipiga Iran ambapo Israel pekee inamudu iyo kazi) kwa Irani kwahyo israel anatafanya pekee yake lakini katika defense (kuilinda Israel) west itampa backup
 

Attachments

  • Screenshot_20240414-110906_1.jpg
    Screenshot_20240414-110906_1.jpg
    352.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom