Live coverage on JamiiForums
Dunia Ipo Moto sana
Naona Kila Taifa lina Kinyongo na Mtu wake yaani kikilipuka Hapata Shikika

🇷🇺🇮🇱 From Maria Zakharova:

💬 "The Israeli Ambassador to Russia, Simona Galperin: Israel expects Russia to condemn Iran's massive missile strike on the country.

Simona, remind me, when did Israel condemn even one strike by the Kiev regime on Russian regions? Can't remember? Neither can I. But I do remember regular statements supporting Zelensky's actions from Israeli officials. Those same criminal, terrorist actions of bastards on Bankova Street, resulting in the deaths of civilians year after year and the destruction of civilian infrastructure."
 

Attachments

  • 20240414_141420.jpg
    140.4 KB · Views: 3
Wewe mwenye mahaba,hata ukionyeshw utasema ni za Ukraine,wewe endelea kuna dona harafu fanya kama hakijatokea kitu Israel usijipe tabu saaana
Sababu Mabomu ya Iran yakipiga tumeona sio mahaba ni fact, kuna video zaidi ya 10 watu tofauti tofauti waki record,

Kuonesha video ya F35 ndege ambazo hadi kwenye Manowari zinatua si ushahidi kwamba kambi ipo salama, hio ndege haina makuu kwamba kambi imelipuliwa isitue.
 
Israel wanajiandaa kulipa kisasi ndani ya masaa 48 yajayo msemaji wa serikali amethibisha haya Leo asubuhi
 
I

John Mersheimer, political scientist :

The attack on the Iranian consulate was a big blow to international law, Israel is distressed, it behaves like a rebel and wants to get out of the scandal it has caused in Gaza at any cost.
1967 lsrael ilikuwa ikipigana na mataifa 7 kwa wakati mmoja.
Katika nchi hizo Misri was one of them.

Israel ilishinda vita vile.
 
Tatizo ukishakuwa upinde na akili za zimehama
 
Subiri Israel ikijibu mapigo dunia ianze kupiga kelele za kuomba poo, mara haki za wanadamu, mara njaa na uonevu nk. Endeleeni na ushabiki.
 
Vyombo vinavyoegemea Iran vijasema wamekufa watu 100! Lakini hazijathibitishwa!
 
I



1967 lsrael ilikuwa ikipigana na mataifa 7 kwa wakati mmoja.
Katika nchi hizo Misri was one of them.

Israel ilishinda vita vile.
watu hujifunza kutokana na makosa

kipindi hicho technolojia iko chini, kwa sasa una chapwa na watu 7 wamekaa chumbani wanachezesha madude
 
Ukwel hii inampa nguvu Israel kwenda Iran maana anaimudu kabisa na yeye anawinda nuclear sites maan Iran akishapata nuclear weapons hapatoshi middle east lakin Biden anakauoga kwa escalation kutokea Ww3 inaweza anzia hapo
Kwa taarifa yako Iran ana nuclear sites zingine zipo deep kabisa chini ya Miamba ambayo ilikuja kujulikana miaka ya 2003 baada ya wapinzani kutoa siri... Ndio Israel/US/UK wanaweza kuharibu zile wanazoona ila ili waweze kuharibu vinu vya Natanz ambavyo vipo kwenye milima ndani kabisa basi Iran inatakiwa jeshi lake lote liwe limeangamizwa maana apo only ground operation ndo itatakiwa... Sasa jiulize Ground operation kwa Iran no rahisi kiasi hicho?? Je makombora ya Iran ambayo nayo yapo kwenye Silos yan buried underground kwenye milima uko ni rahisi kuamngamizwa? Hii vita no ngumu kulizo mnavodhania...Iran ni nchi yenye milima mikubwa km ya Torabora ili uende uko lazima ujipange... So hawa watakua wanaviziana tu...lakini kumbuka pia Israel ana nuclear site inaitwa Demona na ni operation nayo inaweza kushambuliwa na Iran pia na madhara yake kwa mionzo ikawa ni catastrophic kwa viumbe....Kwann mpaka Leo Russia hajaharib vinu vya nuclear vya Ukraine jibu ni kua vipo oparational so mikataba ya kimataifa inazuia maana mionzi itasambaa maeneo mengi na kusababisha cancer kwa viumbe wengi na eneo hilo litabidi lihamwe... Israel iliweza kuviharibi vinu vya nuclear vya Irak na Syria sbabu rahisi ni vilikua sio oparational vilikua ktk state ya ujenzi....
 
Kwa akili yako kiduchu....Aliyeyatungua ni Israel au US/UK/France na Jordan? Ukifatilia mambo kiushabiki utakua unatumia uwezo wako kidogo sana wa kufikiri....Jiulize kwann ayo mataifa yameingilia kati? Kwan Israel siwote tuna jua ina multi layered defence systems? Kwann haikuachiwa yenyewe ishugulike na Iran....Jiulize kwann % kubwa ya ayo makombora/drone yamedunguliwa na US/UK/France/Jordan tena mbali kabisa na Taifa teule na yale machache yaliyopita nasema machache bado Israel hakudungua yote??? Usiwe km Rais wa Ukraine akisema Ukraine imedungua drone za Iran zilizolushwa na Russia 38 kati ya 40 ila hizo 2 zime hit target na kufanya yake.... Jua ata Syria inapotungua makombora mengi ya Israel ata ya yakipita 2 tu lengo linakua limefikiwa... Sasa ayo 7 ya Iran kwann mpaka sasa Israel haitak kuonesha ulimwengo hiyo demage ndogo tu...
 
Hadi sasa picha za makombora kuanguka ni nyingi kuliko picha za uwe uwanja
 
Acha wakulane tu risasi za kichwa , wakitaka walipue na nuclear !! Hii dunia dharau zimezidi wapigane kiranja mpya apatikane tusaini treaty mpya za kubalance ulimwengu.

Nnachoamini hata siku moja watu wote hawawezi kufutika duniani watapatikana wa kubaki hao hao watakaa wakubaliane kwa ustaaarabu jinsi ya kuishi 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…