Live coverage on JamiiForums
Acha ujinga wewe, Hapo hakuna faida kwa wote, Iran sio Hamas.
 
Acha muhemuko wewe fala, kwani lini israel ilishawahi kuonea Iran huruma
Oya bro hujaachaga shobo kwn hujaelewa kimeandikw elewa mada kinaenda kwel jiandaeni na madela yenu kukmbia ufaransa kuondoa Raia inaonesha wana intel ya nini kinafata sasa ufala umetokea wp na akili kama thread za international huelew ingia majukwaa mengne maan naona roh imekuruk sana kusikia wenzio wanapelekewa moto
 
Nawaonea huruma Iran, japo nilitaka iwe hivyo, maana mtego aliotegewa kwa miaka mingi amenasa ni suala la muda tu atakiona.
 
Hii ni Iran mkuu Mazayuni yakijaribu kulipa kisasi basi watakutana na mkono wa moto wa Iran.

Hii dozi waliokula Israel ni nusu dozi sasa wakijaribu kurusha makombora yao ndiyo watajibiwa kikamilifu.
Hapana sio nusu. hata robo haitimii
Wakipewa dozi nusu izrail inapotea ulimwenguni
 
Kwani hivyo vita ni man to man?
Ngoja hasira ziwapande, msije kuja hapa kuomba huruma na vi hash tag pray for Iran
 
Kumbe, Iran kijeshi wamejipanga sana tofauti na nlivyokuwa nawaza.
Suala linakuja Israel kama wakipigana (God forbid isitokee)hapigani peke yake bali na washirika lukuki. Washirika wa Iran sidhani kama watakua tayari kujiingiza vitani. Ingekua vita ya wao watupu Israel ingechapika.
Naongea kama mtu huru nisiye na mahaba wala interest na upande.
 
Yale yale ya Russia imeshindwa vita Ukraine, kumbe jamaa anajimegea maeneo tu,wew endelea kupokea propaganda ukweli mwanaume Iran kapiga,hayo mengine sis hatujui
Kapiga wapi? Na raia wa Israel wangapi wamepigwa ukilinganisha na wale aliopoteza yeye?
Hukusikia kuwa kasaidiwa na Marekani,Uingereza na Jordan kupopoa makombora powerfull ipi unayosemea
Kusaidiwa ni jambo la kawaida kusaidiwa. Hata missiles za Iran zilikuwepo pia za Urusi, pia Iraq, Yemen na Hezbollah nao walisaidia pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ