Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Kwani Israel Hana bomu la Sumu akalipiga Moja hapo Iran akaua pants na ndege wote wanaoleta fujo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe, Hapo hakuna faida kwa wote, Iran sio Hamas.Ufaransa imeomba raia wake kuondoka Iran as soon as possible
Inaaminsha Israel anawapa Iran FAFO (Tena ni FO ndio inata--find out ) online Kuna watu Wana sherekea kitendo Cha Iran kumjaribu Israel Jana sasa jiandaeni kufurahi zaidi maana Zionist huwa wanakulipa mara 100 zaidi roho mbaya sana
👇👇👇👇
Yeah kuna kila daliliTuendelee kunywa mchuzi nyama ziko chini laini sana😅😅, This round kuna taifa moja wapo lazima lipotee
Oya bro hujaachaga shobo kwn hujaelewa kimeandikw elewa mada kinaenda kwel jiandaeni na madela yenu kukmbia ufaransa kuondoa Raia inaonesha wana intel ya nini kinafata sasa ufala umetokea wp na akili kama thread za international huelew ingia majukwaa mengne maan naona roh imekuruk sana kusikia wenzio wanapelekewa motoAcha muhemuko wewe fala, kwani lini israel ilishawahi kuonea Iran huruma
Kuwa mpole mkuu it's matter of timeAcha ujinga wewe, Hapo hakuna faida kwa wote, Iran sio Hamas.
ChatGPT ndio umeijua jana!! Unashindwa kutofaitisha Holy Roman Empire na Roman Empire.Kwani ukisema umesoma historia na lugha, kuna atakayekudharau? Jivunie jambo lako, utaishi kwa furaha. Mimi nikihitaji historia ya jambo najua ipo AI inaweza kunisaidia
View attachment 2963487
Na bideni akiingia basii tutafute sayari nyingine ss mashuhudaYeah kuna kila dalili
Hapana sio nusu. hata robo haitimiiHii ni Iran mkuu Mazayuni yakijaribu kulipa kisasi basi watakutana na mkono wa moto wa Iran.
Hii dozi waliokula Israel ni nusu dozi sasa wakijaribu kurusha makombora yao ndiyo watajibiwa kikamilifu.
Wamewaonea sana Hamas wacha na wao waote moto kidogo. Shikamoo Iran🚨 44 Zionist military officers were killed in #Iran's missile attack on Navatim base.
it is interesting...
They say that 99% of the missiles have been destroyed, but they do not allow the images to be broadcast😂
Kwani hivyo vita ni man to man?Total Population:
Iran 🇮🇷: 87.6M
Israel 🇮🇱: 9.04M
Available Manpower:
Iran 🇮🇷: 49.05M
Israel 🇮🇱: 3.80M
Fit-for-Service:
Iran 🇮🇷: 41.17M
Israel 🇮🇱: 3.16M
Military Personnel:
Active Personnel:
Iran 🇮🇷: 610K
Israel 🇮🇱: 170K
Reserve Personnel:
Iran 🇮🇷: 350K
Israel 🇮🇱: 465K
Paramilitary Forces:
Iran 🇮🇷: 220K
Israel 🇮🇱: 35K
Financials:
Defense Budget:
Iran 🇮🇷: $9.95B
Israel 🇮🇱: $24.4B
External Debt:
Iran 🇮🇷: $8B
Israel 🇮🇱: $135B
Foreign Reserve:
Iran 🇮🇷: $127.15B
Israel 🇮🇱: $212.93B
Airpower:
Total Aircraft:
Iran 🇮🇷: 551
Israel 🇮🇱: 612
Fighter Aircraft:
Iran 🇮🇷: 186
Israel 🇮🇱: 241
Attack Helicopter
Iran🇮🇷: 13
Israel 🇮🇱: 48
Land Power:
Tank Strength:
Iran 🇮🇷: 1,996
Israel 🇮🇱: 1,370
Armored Vehicles:
Iran 🇮🇷: 65,765
Israel 🇮🇱: 43,407
Self-Propelled Artillery:
Iran 🇮🇷: 580
Israel 🇮🇱: 650
Naval Power:
Fleet Strength:
Iran 🇮🇷: 101
Israel 🇮🇱: 67
Submarines:
Iran 🇮🇷: 19
Israel 🇮🇱: 5
Logistics:
Airports:
Iran 🇮🇷: 319
Israel 🇮🇱: 42
Merchant Marine:
Iran 🇮🇷: 942
Israel 🇮🇱: 45
Natural Resources:
Oil Production:
Iran 🇮🇷: 3.45M bbl
Israel 🇮🇱: 0 bbl
Suala linakuja Israel kama wakipigana (God forbid isitokee)hapigani peke yake bali na washirika lukuki. Washirika wa Iran sidhani kama watakua tayari kujiingiza vitani. Ingekua vita ya wao watupu Israel ingechapika.Kumbe, Iran kijeshi wamejipanga sana tofauti na nlivyokuwa nawaza.
umesema kweli lakini kuna majinga yanavyotamani hiyo vita utadhani ni wayahudi au waajemi. ujinga mtupuHapa shida tutapata africa tu kwa bei ya dollar kupanda na mafuta kuwa bei
Kapiga wapi? Na raia wa Israel wangapi wamepigwa ukilinganisha na wale aliopoteza yeye?Yale yale ya Russia imeshindwa vita Ukraine, kumbe jamaa anajimegea maeneo tu,wew endelea kupokea propaganda ukweli mwanaume Iran kapiga,hayo mengine sis hatujui
Kusaidiwa ni jambo la kawaida kusaidiwa. Hata missiles za Iran zilikuwepo pia za Urusi, pia Iraq, Yemen na Hezbollah nao walisaidia pia.Hukusikia kuwa kasaidiwa na Marekani,Uingereza na Jordan kupopoa makombora powerfull ipi unayosemea