hiyo ni vita ya kizamani sababu inamadhara makubwa kwa taifa husika kuliko proxy war.. proxy war ndo vita ya kisasaWhat about direct war?
makombora yametoka iran yanapita iraq, syria, jordan then ndo yaingie israel, hizo nchi zote ambazo yanapita kuna base za UK na US, na Franc, je kwa akili yako fupi ulitaka wayaache yapite hivi hivi sio?Kwa akili yako kiduchu....Aliyeyatungua ni Israel au US/UK/France na Jordan? Ukifatilia mambo kiushabiki utakua unatumia uwezo wako kidogo sana wa kufikiri....Jiulize kwann ayo mataifa yameingilia kati? Kwan Israel siwote tuna jua ina multi layered defence systems? Kwann haikuachiwa yenyewe ishugulike na Iran....Jiulize kwann % kubwa ya ayo makombora/drone yamedunguliwa na US/UK/France/Jordan tena mbali kabisa na Taifa teule na yale machache yaliyopita nasema machache bado Israel hakudungua yote??? Usiwe km Rais wa Ukraine akisema Ukraine imedungua drone za Iran zilizolushwa na Russia 38 kati ya 40 ila hizo 2 zime hit target na kufanya yake.... Jua ata Syria inapotungua makombora mengi ya Israel ata ya yakipita 2 tu lengo linakua limefikiwa... Sasa ayo 7 ya Iran kwann mpaka sasa Israel haitak kuonesha ulimwengo hiyo demage ndogo tu...
Ni ametishia ila hajafanya. Anachokifanya Israel kwa Palestine ni uovu wa kivita na sio kupigana vita.dogo acha siasa watu wanapigana vita kushinda haijalishi kanuni.
mara kadhaa hapa Russia anatishia kutumia nuclear naye hajui kanuni?
kwani nani hapo ndo aliemuanza mwenzake?Maneno mengi hayahitajiki,tunasubiri vitendo.
Tembo kamkalisha mandonga. Sema ndonga boi ukimpiga kama kakupiga na akikupiga kama kakupiga. israhellkwani nani hapo ndo aliemuanza mwenzake?
Pumbaf, wao wenyewe hawamkubali huyo unaemtaja, acha tabia za kimalaya
Marekani,Ufaransa na Uingereza hawawezikukibali mashoga wao wapigweIsrael kaufyata! Fanyeni iwe mapumziko maana makafir wamepigwa.
sasa bibi, iran anasema anaweza nini sasa wakati makombora zaidi ya 300 amerusha yamedakwa na israel haijaathirika kabisa. hayo 300 yangerushwa kuelekea iran ingeyadaka? netanyahu amesema within 48 hours anarusha ya kwake ngoja tuone itakuwaje.Iran kaionesha dunia kuwa anaweza, tena kistaarabu kabisa.
Sehemu zote alizolenga ni za kijeshi na hakuna kulenga raia, alikua na uwezo huo lakini hakufanya hivyo.
Unafikiri mazayuni na mabwana zao wanakutangazia kimetokea nini kiukweli?sasa bibi, iran anasema anaweza nini sasa wakati makombora zaidi ya 300 amerusha yamedakwa na israel haijaathirika kabisa. hayo 300 yangerushwa kuelekea iran ingeyadaka? netanyahu amesema within 48 hours anarusha ya kwake ngoja tuone itakuwaje.
It was also made clear during the call that any retaliatory action by Israel would not be supported by Washington, the American outlet reported.Israel kaufyata! Fanyeni iwe mapumziko maana makafir wamepigwa.
Wewe upo upande upi?Maayatola ni muda wenu kushangilia kwa sasa. Mayahudi weusi tulieni, nyie zamu yenu bado
attack kile mtu anaweza, ila kurusha makombora halafu yanadakwa kwa asilimia 99% ni huzuni sana. bora ungeishia kwenye mkwara tu manake sasaivi wameshajulikana uwezo wao umeishia wapi. na alipoona makombora yamedakwa, amekimbilia kusema mi sirushi mengine tena, inatosha. kwani yamemdhuru nani? hiyo ndio heavy price tulikuwa tunaisubiria?I never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israel.
KayngayPumbaf, wao wenyewe hawamkubali huyo unaemtaja, acha tabia za kimalaya
hata wapalestina si wapo karibu pale wangetwambia. hayo yaliyopiga yamepiga wapi sasa, tuambieni. israel kuan waarabu ambao ni waislam more than 15% unafikiri wasingepiga hata picha tu warushe? iran has proved 100% total failure, ndio maana amesema hatarusha tena. amefanikiwa kwenye nini sasa hapo?Unafikiri mazayuni na mabawana zao wanakutangazia kimetokea nini kiukweli?
Nchi zaidi ya kumi zimeungana kuzuia makombora ya Iran, lakini hata hivyo, yote yalikua "decoy" yaliotakiwa kupiga hakuna hata moja lililozuiliwa.
Kumbuka hilo.