LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Kwa akili yako kiduchu....Aliyeyatungua ni Israel au US/UK/France na Jordan? Ukifatilia mambo kiushabiki utakua unatumia uwezo wako kidogo sana wa kufikiri....Jiulize kwann ayo mataifa yameingilia kati? Kwan Israel siwote tuna jua ina multi layered defence systems? Kwann haikuachiwa yenyewe ishugulike na Iran....Jiulize kwann % kubwa ya ayo makombora/drone yamedunguliwa na US/UK/France/Jordan tena mbali kabisa na Taifa teule na yale machache yaliyopita nasema machache bado Israel hakudungua yote??? Usiwe km Rais wa Ukraine akisema Ukraine imedungua drone za Iran zilizolushwa na Russia 38 kati ya 40 ila hizo 2 zime hit target na kufanya yake.... Jua ata Syria inapotungua makombora mengi ya Israel ata ya yakipita 2 tu lengo linakua limefikiwa... Sasa ayo 7 ya Iran kwann mpaka sasa Israel haitak kuonesha ulimwengo hiyo demage ndogo tu...
makombora yametoka iran yanapita iraq, syria, jordan then ndo yaingie israel, hizo nchi zote ambazo yanapita kuna base za UK na US, na Franc, je kwa akili yako fupi ulitaka wayaache yapite hivi hivi sio?
 
Iran kaionesha dunia kuwa anaweza, tena kistaarabu kabisa.

Sehemu zote alizolenga ni za kijeshi na hakuna kulenga raia, alikua na uwezo huo lakini hakufanya hivyo.
sasa bibi, iran anasema anaweza nini sasa wakati makombora zaidi ya 300 amerusha yamedakwa na israel haijaathirika kabisa. hayo 300 yangerushwa kuelekea iran ingeyadaka? netanyahu amesema within 48 hours anarusha ya kwake ngoja tuone itakuwaje.
 
sasa bibi, iran anasema anaweza nini sasa wakati makombora zaidi ya 300 amerusha yamedakwa na israel haijaathirika kabisa. hayo 300 yangerushwa kuelekea iran ingeyadaka? netanyahu amesema within 48 hours anarusha ya kwake ngoja tuone itakuwaje.
Unafikiri mazayuni na mabwana zao wanakutangazia kimetokea nini kiukweli?

Nchi zaidi ya kumi zimeungana kuzuia makombora ya Iran, lakini hata hivyo, yote yalikua "decoy" yaliotakiwa kupiga hakuna hata moja lililozuiliwa.

Kumbuka hilo.
 
I never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israel.
attack kile mtu anaweza, ila kurusha makombora halafu yanadakwa kwa asilimia 99% ni huzuni sana. bora ungeishia kwenye mkwara tu manake sasaivi wameshajulikana uwezo wao umeishia wapi. na alipoona makombora yamedakwa, amekimbilia kusema mi sirushi mengine tena, inatosha. kwani yamemdhuru nani? hiyo ndio heavy price tulikuwa tunaisubiria?
 
Unafikiri mazayuni na mabawana zao wanakutangazia kimetokea nini kiukweli?

Nchi zaidi ya kumi zimeungana kuzuia makombora ya Iran, lakini hata hivyo, yote yalikua "decoy" yaliotakiwa kupiga hakuna hata moja lililozuiliwa.

Kumbuka hilo.
hata wapalestina si wapo karibu pale wangetwambia. hayo yaliyopiga yamepiga wapi sasa, tuambieni. israel kuan waarabu ambao ni waislam more than 15% unafikiri wasingepiga hata picha tu warushe? iran has proved 100% total failure, ndio maana amesema hatarusha tena. amefanikiwa kwenye nini sasa hapo?
 
Back
Top Bottom