African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Hiki ndo kitu ambacho nimesema. Wanachofanya Iran ni kuchoma sindano ya kuchukua sample iende maabara. Israel wakijitekenya tu wanachomekwa bomba la mkuu nduguyeI never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israel.
kamanda ana kalio kubwa afanye mazoezi.Iran imejipanga Israel akijichanganya tu analo cheki mazoezi ya iran hayoView attachment 2963887
Mamaaaa, Kimenuka. Kuna mtu akikohoa tu amekwisha
Wairan wanaendelea na mazoezi makali yaan israel lazima ifutwe kwenye uso wa dunia
Eeh mbona hii style ni km show ya ma stripper wengi kwenye nightclub wanacheza alafu mwisho wanasanuka msamba hivyo..Iran imejipanga Israel akijichanganya tu analo cheki mazoezi ya iran hayoView attachment 2963887
Hamas ameshindwa kummaliza ndio itakuwa Iran.....You are not SeriousHehe...mtakapoanza kulia humu "tuiombee Iran" pia usisahau kicheko chako hiki.
Ndio maana US kajiwahi mapema, kuwa mimi simo...Mamaaaa, Kimenuka. Kuna mtu akikohoa tu amekwisha
Mashoga kama baasha wenu mwamed mfirajiMarekani,Ufaransa na Uingereza hawawezikukibali mashoga wao wapigwe
Iran kaionesha dunia kuwa anaweza, tena kistaarabu kabisa.
Sehemu zote alizolenga ni za kijeshi na hakuna kulenga raia, alikua na uwezo huo lakini hakufanya hivyo.
Iran kawatia kijiti tu mka fika mshindo .ange tia MB si mngeshindwa kukaaMashoga kama baasha wenu mwamed mfiraji
Vipi mwenzetu mbona hasira kali wkt vita si yetu na hizi dini si zetu?.Kwa ujinga wenu mnashindwa kutofsutisha Dini na masuala ya siasa ndo maana tutabaki kama nchi masikini na raia wenye mihemuko ya kidini.
Imani imekujaa kwelikweli, halafu familia inakufa maskiniVITA VYAKE MUNGU WA KWELI NANI ATASHINDA?
ISRAEL AND JESUS FIRST AND FOREVER.
TRUE/REAL GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL
Nadhani bajeti ni kubwa kulingana na kwamba kila mwaka anaingia vitani, pia ana deni kubwa la nje... So haiogopeshiHii haitoshi kukuogopesha?
"Israel weighs response after Iran missile barrage: Live updates" Israel weighs response after Iran missile barrage: Live updatesHaya mods sjui mtafuta tena na leo comment yangu
View: https://x.com/MarioNawfal/status/1779607758284677153
Tunalala tutapata matokeo asubuhi kama jana
Manchi haya yakimaliza kupigana waje africa huku wajichagulie wa kupambana naye tu
Watu cc ni wepes kusahaunadhani alichokifanya Iran kule Iraq baada ya kamanda wake kuuawa na marekani mnakumbuka! Iran hua hana kubwabwaja maneno... wait and see.