LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
I never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israel.
Hiki ndo kitu ambacho nimesema. Wanachofanya Iran ni kuchoma sindano ya kuchukua sample iende maabara. Israel wakijitekenya tu wanachomekwa bomba la mkuu nduguye
 
Wairan wanaendelea na mazoezi makali yaan israel lazima ifutwe kwenye uso wa dunia
1000005087.jpg
1000005087.jpg
 
Najiuliza, vipi kama Israel isingepata msaada wa kusaidia kupangua yale makombora...?? vp kama yale makombora yote yangefanikiwa kutua kwenye ardhi ya Israel..??
 
Kwa ujinga wenu mnashindwa kutofsutisha Dini na masuala ya siasa ndo maana tutabaki kama nchi masikini na raia wenye mihemuko ya kidini.
Vipi mwenzetu mbona hasira kali wkt vita si yetu na hizi dini si zetu?.
 
Isaraeli na Marekani wameumbuka. Wametudanganya vya kutosha, ngoja sasa tuone nini watafanya.

Lying is just taking advantage of present time(s), situation or circumstances to hide the truth. However, at the same time, it is taking risk when those times, circumstances and situation have changed or no longer exist.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom