Naomba unitagMkuu unazipata wapi hizi Habari ili nikafuatilie nilete updates
Hivi ilitokeaje US akaipenda Israel kiasi hiki?Is it because of merits or Israel earned that cooperation?Its due to the fact that behind Israel's proud and strength there is US[emoji631] support and backup
Alisema in 48hrs Iran will retaliate offensively by bombing Tel-Aviv nini kimetoka mpaka sasa? Iran hamwangalii Israel maana akimgusa tu ametangaza vita na US na allies wake. Kwahiyo war calculations and speculations sio kama unavyofikiria. Iran anajua kabisa huo ni mtego na ametegwa, IDF lisingeweza kushambulia makazi ya balozi bila kupewa ruhusa na baba ake. Sasa jichanganyenadhani alichokifanya Iran kule Iraq baada ya kamanda wake kuuawa na marekani mnakumbuka! Iran hua hana kubwabwaja maneno... wait and see.
Because behind the America's glory there are Jews. Wanasiasa wengi wa marekani wana vinasaba vya uyahudi. Soma historia ya America especially before and after 1WWHivi ilitokeaje US akaipenda Israel kiasi hiki?Is it because of merits or Israel earned that cooperation?
Wacha nijichekee mie, huyo waziri wa mambo ya nje wa Iran atabaki kubwabwaja na kuendelea kutafuta support ya Urusi na China wakati wenyewe wamenyamaza kimya. Anatamani sana aiadhibu Israel lakini bila support ya Eastern alliance anajua kibao kitamgeukaUpdate
Ahead of his visit to Damascus, Syria tomorrow, Iranian Foreign Minister Amir Abdollahian met with Ansarallah spokesman and head of the negotiating delegation, Mohammed Abdul Salam, in Muscat, Oman.
[emoji1130] Abdollahian stated: "The zi0ni5t regime's terrorist act against the Iranian diplomatic building in Damascus was with the use of US-made aircraft and missiles. In addition to legal and international measures, Tehran will hold the criminal aggressors accountable and punish them."
Hayo maneno ya 48hrs kwani alisema iran??Alisema in 48hrs Iran will retaliate offensively by bombing Tel-Aviv nini kimetoka mpaka sasa? Iran hamwangalii Israel maana akimgusa tu ametangaza vita na US na allies wake. Kwahiyo war calculations and speculations sio kama unavyofikiria. Iran anajua kabisa huo ni mtego na ametegwa, IDF lisingeweza kushambulia makazi ya balozi bila kupewa ruhusa na baba ake. Sasa jichanganye
Kipindi alipoiadhibu US bases kule Iraq na Syria alisaidiwa na Russia au China?Wacha nijichekee mie, huyo waziri wa mambo ya nje wa Iran atabaki kubwabwaja na kuendelea kutafuta support ya Urusi na China wakati wenyewe wamenyamaza kimya. Anatamani sana aiadhibu Israel lakini bila support ya Eastern alliance anajua kibao kitamgeuka
Wala sio anaipenda ni System yao inacontroliwa na hao wazayuniHivi ilitokeaje US akaipenda Israel kiasi hiki?Is it because of merits or Israel earned that cooperation?
Iran ananjia nyingi sana za kumpiga Israel indirectly. Kupita magaidi, Hamas, Electronic Warfare Hauth, Hamas, etcAlisema in 48hrs Iran will retaliate offensively by bombing Tel-Aviv nini kimetoka mpaka sasa? Iran hamwangalii Israel maana akimgusa tu ametangaza vita na US na allies wake. Kwahiyo war calculations and speculations sio kama unavyofikiria. Iran anajua kabisa huo ni mtego na ametegwa, IDF lisingeweza kushambulia makazi ya balozi bila kupewa ruhusa na baba ake. Sasa jichanganye
Hata ikitokea hivi still itaonyesha strong influence na mchango wa mwiran kwenye hii issue.....Hii inaonyesha kuwa Middle East haiwez kuwa na hatma nzuri bila kumshirikisha mwajemi[emoji298]️BREAKING
It is now confirmed that Iran has told the United States that it can avoid a direct strike on Israel by signing a permanent ceasefire deal in Gaza.
It should also be noted that Israel has given its negotiating team a stronger mandate and has withdrawn its troops from southern Gaza.
Changamoto ambayo ipo ni kuwa walimruhusu Iran akajijenga sana na kuwa na power sasa hivi kumuangusha sio kazi rahisi tena.Iran ananjia nyingi sana za kumpiga Israel indirectly. Kupita magaidi, Hamas, Electronic Warfare Hauth, Hamas, etc
Anaweza kupenyeza hypersonic missle hadi Yemen kwa wasiojulikana, akalilaunch kutokea huko na kuleta maafa Israel.
Hii ndio maana taifa na jeshi lote la IDF wamepanic
Kisasi cha Iran kinajulikana waajemi kwa visasi sio poa....Tayar US anakumbuka what happened in 2020 kipindi bases zake zinapigwa na Muiran na US akaufyataThe US is trying hard to prevent Iranian retaliation against Israel, Biden has started to put pressure on Israel to conclude a ceasefire deal as soon as possible, and apparently the US has also asked Oman to mediate with Iran on behalf of the US.
My best geuss is that a complete end to the Gaza war could prevent an Iranian strike on Israel.
Kwa nini [emoji631] wanaogopa sana hii kotu