Live coverage on JamiiForums
Mtoa taarifa unaposema Israel itaenda yenyewe sawa inaonekana unareport kutoka ktk hilo baraza la vita... Tunaomba utujuze lini Israel itaivamia Iran? Kuhusu Iran kuivamia Israel ilijulikana ni weekend
Netanyahu ana kichwa kigumu ni wazi atalipiza lakini Iran nae ameshatoa angalizo kuwa majibu yake yatakua mabaya zaidi. Wacha tuone show imekaribia kuanza.
 
Israel hawezi kulipiza leo au kesho itachukua mda hata Marekani kasha mkataza kulipiza haraka,......escalation ya vita itakua kubwa zaidi kuizuia vita ikianza, hizo ni mbwembwe za natanyahu, huo Muziki sio mdogo.
Mtu ametumia karibia 4 trillion kwwa massa12 , hicho ni kiasi kikubwa sana cha hela , na uchovu wa vita vya gaza amna anayetamani tena wasikudanganye
 
Israel hawezi kulipiza leo au kesho itachukua mda hata Marekani kasha mkataza kulipiza haraka,......escalation ya vita itakua kubwa zaidi kuizuia vita ikianza, hizo ni mbwembwe za natanyahu, huo Muziki sio mdogo.
Ndiyo nasubiri kumuona Netanyahu akilipiza kisasi. Ila hawana akili wale! Wanajua vyovyote mataifa ya magharibi yatawasaidia. Ila huo moto utakaolipuka mashariki ya kati nakuhakikishia Israel itafutika kwenye ramani.
 
Saudi Arabia ana mpaka mkubwa sana na ujirani na Yemen kuliko majirani zake wote. Yemen/Houthi ambao ndio Swahiba wakubwa wa Iran na wameiisha pledge kupeleka vijana 400,000
Katika ulimwengu wa Waarabu hakuna watu wanapenda vita kama Yemen
Lebanon wao wame pledge 150,000 soldiers

Saudia wako busy kujiimarisha Kiuchumi wanataka kuifanya iwe world trade center kama Dubai hivyo wako busy mpaka kufungua maduka ya pombe kitu ambacho hakikuwa utamaduni wao
 

Attachments

  • IMG-20240415-WA0123.jpg
    115.1 KB · Views: 3
BREAKING

Abolfazl Amoui, spokesman for the National Security and Foreign Policy Committee of the Iranian Parliament says Iran is ready to use weapons that it has not used before and we have a plan for all scenarios if Israel escalates
 
Ukwel hii inampa nguvu Israel kwenda Iran maana anaimudu kabisa na yeye anawinda nuclear sites maan Iran akishapata nuclear weapons hapatoshi middle east lakin Biden anakauoga kwa escalation kutokea Ww3 inaweza anzia hapo
Unasubiri wapate mara ngapi ?
Wakati watu wako busy na Ukraine jamaa wamemaliza kazi
 
Yani Iran kashambulia jana tu alafu unasema eti ajisahau kweli uko sawa wewe... Kwa akili ya Kawaida Airdefence zote za Iran zipo macho kwasasa....Iran wana early warning radar system za kuona Middle eastern yote... Iran kwa siku za karibuni amefanikiwa kurusha satellite ambazo nazo zinamsaidia kuona mbali hasa kwa hasimu wake Israel...Russia nae anaweza kumtonya kwa satellite zake ambazo zinaona 24hrs nin unafanya...Kurusha Hizo F-35 from Telaviv to Tehran zitapita anga gan bila kuongezewa wese?? Option rahis kwa Israel ni kutumia Germany made dolphin submarine alizonazo kujificha karib kabisa na bahari ya Iran na kurusha cruise missiles ambazo hizo submarine anazo ka 10 ivi so ni limited na option nyingine ni kurusha Jericho ballistic missile capable of reaching Iran nazo anazo chache....Na Israel km ataamua kupeleka ndege zake na Iran akafanikiwa kuzidungua kadhaa atakua ameua soko la US za ndege vita zake kitu ambacho US hataki maana soko la air defense systems za Iran litapata soko...So tusubirini tuone
 
Hakuna vita wala chochote hapo, hao iran na israil ni kitu kimoja kabisa, wanatuchezea akili tu,

leo ni miaka mingapi tangu iran aliposema ataishambulua israel? Na sasa ameshambulia huku akiwaambia kuwa nimetuma drone kiasi kadhaa na zitafika huko mda kadhaa, huu ni utoto plus

Yaani iran, usa, Israel na wa ulaya wengi tu ni dugu moja
 
Ndiyo nasubiri kumuona Netanyahu akilipiza kisasi. Ila hawana akili wale! Wanajua vyovyote mataifa ya magharibi yatawasaidia. Ila huo moto utakaolipuka mashariki ya kati nakuhakikishia Israel itafutika kwenye ramani.
Mtazamo wa kijiografia na uchaguzi wako wa kuwa upande gani ndivyo vinavyokusukuma kusema hivyo,deeply u know nothing.
 
Poor Jordan kujiweka chambo anga lake liki tumika basi akae kitaalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…