LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Kila kitu wanaambiana kabla hawajafanya. Tena kwa details. Na wanareportiana.
Watu na wafunguke sasa, kwanini iran hajaingia miezi tisa imepita hadi sasa?
Yaani ameona ulimwengu wanataka kuungana kuwa dhidi ya israel kwasababu hakuna respond kwa sasa from gaza, ni kama gaza wamesarender, so Israel hana sababu ya kuipiga tena, na israel anataka kuimaliza kabisa,

Si ndio kamtumia iran apeleke vidrone vyake ili apate sababu ya kuendelea kuipiga gaza
Wairan ni wanafiki sana
 
Dela la Ayatollaah linaenda kuvuliwa hadharani, Myahudi hajawahi shindwa, Iran itawaka moto, nilisema humu watu viburi waksema Israel hana uwezo wa kulipiza kisasi, yaani Tehran itapigwa na hawawezi kuzuia mabomu hawana mfumo imara wowote, hii ligi bado mbichi, Iran inaenda kuwa Iraq or Libya or Aghanistan

US lead NATO members wengi UK, France, Germany, Canada, wote wataingia na kumpiga Iran vibaya, Russia na China hawata dhubutu kutia mguu kum support Iran, subiri muone moto wake..!!
Ahadi na Sifa nyiingi kuliko vitendo.

Wameshambuliwa na sasa wanatakiwa waretaloate na Hekaya za Hollywood mzee.

Hao NATO Members wakaingilie Ukraine kule basi kama wana huo uwezo.

Mfyuu
 
Hiyo Iran yako inapigana na mdomo sana. Yaan rocket zote down. Hakuna skills hapo ni kelele tu. Vita IPI hapa duniani Iran alishashinda? Nitajie moja tu.
Zile siyo Rockets babu, Ni Kamikaze Drones.

Zilipopigwa zinajulikana speed yake ni 150km/hr .

Ni drones za bei rahisi sana na ha,ina hasara. Hiyp storm ya uwingi wao ni kwa sababu ya slow speed na kuoverwhelm defence system ile missile zipite kirahisi.

Drone zinasafiri masaa kadhaa hewani mpaka wamekaa kuzisubiria zifike sehemu waanze kuzishisha, ulitegema zisizuiwe.

Kwamba hizo ndo Kombora za Iran wanazpjovunia nazo?

Iran ndo amezotuma na anajua maana ya kwa nini alizituma, sisi hatujui lengo lao hasa.

Hizo siyo Stockpile ya missile za Iran ni UAV. Na kazi ya Kamikaze ni kufanya mashambulizi ya kuvizia na kustukiza, soyo kusaforo makilometer zaid ya 1500 angani bila ku,uiwa. We all know that
 

Waendelee hukohuko, wakiingia anga za muajemi wanakutana na hii kitu ndio maana basha wake US kajitoa




1713220194992.png

1713220277494.png

1713220415488.png
 
Back
Top Bottom