GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu na wafunguke sasa, kwanini iran hajaingia miezi tisa imepita hadi sasa?Kila kitu wanaambiana kabla hawajafanya. Tena kwa details. Na wanareportiana.
Ahadi na Sifa nyiingi kuliko vitendo.Dela la Ayatollaah linaenda kuvuliwa hadharani, Myahudi hajawahi shindwa, Iran itawaka moto, nilisema humu watu viburi waksema Israel hana uwezo wa kulipiza kisasi, yaani Tehran itapigwa na hawawezi kuzuia mabomu hawana mfumo imara wowote, hii ligi bado mbichi, Iran inaenda kuwa Iraq or Libya or Aghanistan
US lead NATO members wengi UK, France, Germany, Canada, wote wataingia na kumpiga Iran vibaya, Russia na China hawata dhubutu kutia mguu kum support Iran, subiri muone moto wake..!!
Zile siyo Rockets babu, Ni Kamikaze Drones.Hiyo Iran yako inapigana na mdomo sana. Yaan rocket zote down. Hakuna skills hapo ni kelele tu. Vita IPI hapa duniani Iran alishashinda? Nitajie moja tu.
Mkuu huna uwezo wa kuharibu jina langu hapa jamii forum.Wewe muuza flash za masanja gospel umekuja huku karibu sana
Unaijua Persian Empire wewe ?. Kasome historia ndo uje kutetea shoga zako hapa.Hiyo Iran yako inapigana na mdomo sana. Yaan rocket zote down. Hakuna skills hapo ni kelele tu. Vita IPI hapa duniani Iran alishashinda? Nitajie moja tu.
Shoga ( Israel) vs Rijali ( Iran)Kichapo kipo pale pale
View attachment 2964612