Live coverage on JamiiForums
MImi hilo silijui hakuna nchi inaitwa hivyo ila najua israel anapigana na palestina!

Israel haipigani na nchi yoyote na siku ikipigana na taifa lolote hilo taifa lijiandae kufutwa.....

Ni kainchi kadogo ila balaa....mainchi yenu ya uarabu yapate walau aibu

 

Wavaa dera kila mkiona hii picha muwe mnapata aibu

 
Mbona hukuwahi kulinganisha eneo la Israel na Gaza panapompelekesha Israel sasa wanaingia mwezi wa saba

Gaza haina haja ya kulinganisha maana magaidi ya waislamu yamejificha ndani ya kina mama na watoto.
 
Mbona umeropoka?
Nani alikudanganya Israel haipigi tena Gaza!?
Je wale waliouliwa karibia na gari la msaada wa vyakula kina nani!?

Je wale wamarekani watatu waliouliwa wakiwa katika gari la msaada Gaza waliuliwa na nani!?
Gaza Hamas hawajasarenda maana matakwa yao hayajatimia,hata Israel hawezi kuacha kupiga Gaza maana mateka bado hawajakombolewa.
 
Kwani Israel kuna vita ipi alishinda bila msaada wa Marekani+NATO?
Mbona haujajibu swali langu mkuu? Iran iliwahi kushinda vita ipi?Tafadhali naomba jibu mkuu. Kuna tatizo, kwann hautaki kunijibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…