Live coverage on JamiiForums
Kwani baada ya shambulio la Iran ni ndege ngapi zilirejea Iran baada ya kufanya s
Hongera zao kwa kurudisha ndege zote hizo 300 ambazo zilifanya mashambulizi naona walizirudisha pamoja na majeneza yake.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Reactions: EEX
Kwani baada ya shambulio la Iran ni ndege ngapi zilirejea Iran baada ya kufanya shambulio?.
Si tuliambiwa Israel ilishambulia ubalozi ili Iran ijae kwenye mfumo...
Na Iran akajaa kwakushambulia ndani ya Israel. Maneno yakawa mengi kuwa sasa Iran anachapwa, mbona mnageuka tena?
Tena mnageuka mkiwa wanyoongee😂😂
 
Naona umesahau kuwa kazi ya kuzuia makombora ilianzia Iraq mpaka Jordan zaidi ya km 2000 huku wayahudi wakiwa wanajiharishia kwenye mahandaki na hatimae kuishia kupiga kambi za kijeshi za Israel.
 
Hiyo picha hapo juu ni missiles booster huwa inakua separated na warhead kabla kupiga 🎯 rudi darasani we mkunya.
 
Watu wasiojulikana waliingilia tovuti ya Wizara ya ulinzi ya nchini Israel na kudukua siri nyingi za silaha na kinu cha Nyuklia cha Dinoma, udukuzi huo hauwahi kutokea kabisa katika historia ya WIzara nyeti ya Ulinzi.
si wanasemaga mosad ndo moja ya shirika bora zaidi la ushushushu duniani
imekuaje tena
 
Napata raha hadi naumwa, Israel imetuheshimisha...
Daudi vs Goliathi...kumbe yaliyoandikwa yapo na yalitendeka.

We Jamaa uelewa wako ni finyu...Mbona unaabisha Wakenya ivo.... Dunia Nzima imeona ni Nchi ngapi zilishiriki kuzuia makombora ya Iran..

Leo Jo Biden ktk Bunge la US anaomba lipitishe msaada wa dharura wa kuisaidia Israel na amesema km Israel atazidiwa ni dhahiri US ataingilia kati....Leo US na UK bila kificho wamesema hawatashiriki ktk kuivamia Iran lakini watashiriki kuilinda Israel...
Hii maanake nini? Ni kwamba Israel fanya ufanyalo lakini sisi tutakulinda kwa gharama yoyote ile... Nchi wanachama wa EU wapo wanaanda sanctions dhidi ya Iran, US nae yupo anaandaa Sanctions dhidi ya Makombora na drone za Iran....Kwann wababaike na waungane dhidi ya Iran jibu ni rahisi uwezo aliouonesha dhidi ya Israel sio wa level nyingi ata kwa nchi nyingi za Ulaya hawana... Israel ni Taifa tunalolijua ukilifanyia unyama wowote haitapita ata masaa 5 watakua wamejibu mbona apa kwa Iran wanajitafuta?? Raia wa Israel waliohojiwa wamesema hawataki taifa lao lijibu maana hawataki kuishi kwenye mahandaki km simblisi....

Iran v/s Israel,US,UK,Jordan,EU na wengine weeengi wapo kwa nyuma kuhakikisha Israel hapigwi...
 
Maneno mengi sana, una chochote unaropoka ropoka tuuu mara jericho mara dolphin 🐬. Tumia muda kutengeneza kipato
Unataka kujua kipato changu??? Mamaako anaweza akulazimishe uniite baba
 
Ninachokijua ni kwamba, Iran siyo ya kitoto. Nadhani hata Biden na Netapuss wanajua hilo ndo maana wanaigwaya Iran.
Ikumbukwe kuwa, Israel iliposhambuliwa tu hatua ya kwanza ilikuwa ni kuomba UN kuitisha kikao cha dharula badala ya kujibu mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…