Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Kwani baada ya shambulio la Iran ni ndege ngapi zilirejea Iran baada ya kufanya sTangu jumamosi mpaka leo kimya,, hakuna cha majibu wala mavi ya majibu, sana sana wamebaki kuomba huruma ya Kimataifa, mala jeshi la Iran litambulike kama kikundi cha kigaidi, utengenezwaji wa silaha wa Iran uwekewe vikwazo, yani bla bla zimekuwa nyingi,, na laiti kama Hamas ndo wangelikuwa wamefanya shambulio lile basi asubuhi tungeona convoy ya vifaru na midege na mbwembwe kibao, lkn kwa muajemi wameufyata pumbavu..
Hongera zao kwa kurudisha ndege zote hizo 300 ambazo zilifanya mashambulizi naona walizirudisha pamoja na majeneza yake.