Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Iran hawatambui hayo mahdara ,wangesema kutwa wanasema 🤣 🤣Mashambulio ya iran kule iraq alizuia nani ashindwe kuliongelea hili au hujui nani kaka wa dunia?
Upige nuclear facility sites wakae kimya
View: https://twitter.com/IranObserver0/status/1781211687611249033?s=19