Live coverage on JamiiForums
Iran has made steady progress in West Asia compared to the US/Israeli alliance over the last 30 years. Experts in geopolitics recognize Iran's capability to emerge as a dominant power in the region without resorting to a regional conflict in the foreseeable future.

Therefore, it would not be in Tehran's best interest to risk this strategic opportunity by entering into direct conflict with Israel and potentially involving the US to defend its ally.
 
Propaganda kazini tatizo huwa mnaangalia mainstream media ambazo husema

China raia wengi hawaipendi Serikali
Russia raia wengi hawaipendi serikali
Cuba wananchi wengi hawaipendi serikali
Korea ya kaskazini wananchi wengi hawaipendi serikali

Hizo hizo mainstream media watakuambia[emoji1313]
Israel wote wanaipenda serikali....(Lakini maandamano yanapamba moto huko daily hamuyaoni)
Biden na US govt inapendwa na raia
Ulaya yote the same

Ajabu kweli!!
 
BBC na AL Jazeera nawafuatilia sana sioni kama Wana Habari za Iran ambazo ni recently nyingi za toka shambulizi
Media kubwa zote zinalipwa na mazayuni zisirushe habari zisizoluwa na propaganda zao. Na sasa wameanzisha kampeni ya dunia nzima kuwanunua hata media binafsi (Pro Palestine) wasiandike dhidi yao.
 
Media kubwa zote zinalipwa na mazayuni zisirushe habari zisizoluwa na propaganda zao. Na sasa wameanzisha kampeni ya dunia nzima kuwanunua hata media binafsi (Pro Palestine) wasiandike dhidi yao.
Ficha ujinga we ajuza.
 
Hakuna serikali inayo kubalika kwa raia wote popote hapa ulimwenguni.

Kuna mamilioni ya raia hawaungi mkono serikali ya Iran lakini pia kuna mamilioni ya wengine wanaiunga mkono na ndio maana inaendelea kutawala.
Hivyo hivyo na kwenye nchi zote.
 
Wao wanasema ni taifa la Vita tangu asili.
 
Ni wazo zuri kutoka Iran kama ni kweli.

Huu ndo ukomavu sasa
 
W
WAliomuua Kashoggi 😂
 
Hawa wsnaangalia juujuu wanajua ngumi za mtaani.

Labda Iran apate Direct Assurance ya Russian Troops on the ground ndo ataattept kumuignore Mamarekani, else siyo rahisi kihivyo
 
Dah Siasa za Dunia kizunguzungu.

Biden ana uchaguzi Marekani na Congress wanamzinguazingua, hatak usumbufu vita nyingine kwani itabidi aombe fedha congress ya kusaidia Israel.

Haya Iran na US ni maadui, sasa wanajadiliana nini?

Siasa hapana ina mengi kuliko ushabiki wetu
 
Weka link ya vyanzo vya habar yako
 
Sidhani kama hiyo vita itatokea, Marekani na Iran wanajitahidi sana kuepusha kuenea kwa mzozo wa Mashariki ya kati. Miongoni mwa hatua ni pamoja na Marekani kuishurutisha Israel isitishe uvamizi wake wa Gaza mara moja na iondoe vikosi vyake huko Gaza na tumeona hilo likitekelezwa.

Lakini hatua nyingine ni kuitaka Iran isishambulie asset zake Marekani huko mashariki ya kati na Iran ameahidi kutoshambulia. Mpaka sasa Iran ameapa kulipa kisasi kwa Israel lakini ameihakikishia kutoshambulia assets za Marekani huko mashariki ya kati.
 
Nawasifu sana Iran Kwa uamuzi wao wa kutoshambulia Israel maana inawindwa sana ili isambalatishwe. Ndani ya Iran bado upinzani ni mkubwa sana kutoka Kwa wananchi wao wenyewe.

Baadhi ya majirani zake wanaishi nae kinafiki tu wakitamani aangamizwe Ili wao wawe na influence hapo middle east. Hapo walipo wanahitaji zaidi kushughulikia masuala yao ya kiuchumi na mahusiano na majirani zao zaidi
 
Kwahiyo yale makombora uliyosema yatavurumishwa ndani ya 48hrs imekuaje tena?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…