ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
⚡#BREAKING Israel's Netanyahu says a date has been set for a Rafah invasion in Gaza — ReutersSidhani kama hiyo vita itatokea, Marekani na Iran wanajitahidi sana kuepusha kuenea kwa mzozo wa Mashariki ya kati. Miongoni mwa hatua ni pamoja na Marekani kuishurutisha Israel isitishe uvamizi wake wa Gaza mara moja na iondoe vikosi vyake huko Gaza na tumeona hilo likitekelezwa.
Lakini hatua nyingine ni kuitaka Iran isishambulie asset zake Marekani huko mashariki ya kati na Iran ameahidi kutoshambulia. Mpaka sasa Iran ameapa kulipa kisasi kwa Israel lakini ameihakikishia kutoshambulia assets za Marekani huko mashariki ya kati.