LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
We tahira huyo ni jenerali na amehudumu kwenye kamandi mbalimbali vitani
mapenzi mengine ni kinyaa yakzidi. pengine mwalimu sekondari wewe halafu taifa linauliza kwanini wanafunzi hawavumbui kitu? walimu wenyewe ndio kama wewe hujui kitu
Israel's far-right National Security Minister Itamar Ben-Gvir has been slightly injured and taken to hospital following a car accident, Israeli police say. BBC
 
Habari ya kuokoteza mitandaoni unaona sawa tu kwa vile kichwa yako imeharibika na malaria
chizi wewe. wazee wako wametupa pesa kukusomesha wewe huna faida yoyote kwao. habari ya mitandani halafu kutwa umo humu mitandaoni unacomment mtandaoni.Jamaa yako kachanganyikwa
 
Tumeona video waziri wa Ulinzi wa Isreal akipata jali ndogo anahema anatetemeka wote huku akionekana kama amezimia kwa mshtuko. inaonekana kachanganyikiwa baada kigari kidogo kugeuza njia na klala upande mmoja . haikutegemea jasiri kama yule kigari kimtie presha namna ile.

Huku yeye akimarisha makombora na mizinga kwa watoto wa kipalestina. Hili ni funzo kwamba Allah anaadhibu hata kwa sisimizi kuktumia kukuathibu. Liwe funzo kwa viongozi wengine duniani kwamba Allah ni mkubwa na binaadam hakuna mbabe mbele ya mwengine


View: https://twitter.com/i/status/1783876214744109415
video ya waziri akihema

Yaani mtu amezimia at the same time anatetemeka, how comes.
 
Back
Top Bottom