aliekuumba wewe na akakuapa uhai na elimu , baadala yake wewe ukaweza kuandika utumbo kama huu humu? ushamjua au nizidi kukuelimisha?Allah Ndio Nini kiongozi....?? Wengine hatumjui Huyo Allah!!!
😂😂😂hivi kumbe Allah anaumba ?aliekuumba wewe na akakuapa uhai na elimu , baadala yake wewe ukaweza kuandika utumbo kama huu humu? ushamjua au nizidi kukuelimisha?
Jiulize bibi yako yuko wapi?😂😂😂hivi kumbe Allah anaumba ?
Allah alitoka naye jana jioniJiulize bibi yako yuko wapi?
Huyu ndie waziri wa ulinzi aliepata ajali?
mapenzi mengine ni kinyaa yakzidi. pengine mwalimu sekondari wewe halafu taifa linauliza kwanini wanafunzi hawavumbui kitu? walimu wenyewe ndio kama wewe hujui kituWe tahira huyo ni jenerali na amehudumu kwenye kamandi mbalimbali vitani
KAMA WEWE NI MIRISTO BASI UJUE NDIE ALIEMUUMBA NABII ISSA wengine wanamwita YESU. Kama wewe mpagani basi Allah ni yule aliemfanya bibi yako kuondoka katika dini hiiAllah ndio nani?Hatumtambui wengine muelezee vizuri
Habari ya kuokoteza mitandaoni unaona sawa tu kwa vile kichwa yako imeharibika na malaria
chizi wewe. wazee wako wametupa pesa kukusomesha wewe huna faida yoyote kwao. habari ya mitandani halafu kutwa umo humu mitandaoni unacomment mtandaoni.Jamaa yako kachanganyikwaHabari ya kuokoteza mitandaoni unaona sawa tu kwa vile kichwa yako imeharibika na malaria
Yaani mtu amezimia at the same time anatetemeka, how comes.Tumeona video waziri wa Ulinzi wa Isreal akipata jali ndogo anahema anatetemeka wote huku akionekana kama amezimia kwa mshtuko. inaonekana kachanganyikiwa baada kigari kidogo kugeuza njia na klala upande mmoja . haikutegemea jasiri kama yule kigari kimtie presha namna ile.
Huku yeye akimarisha makombora na mizinga kwa watoto wa kipalestina. Hili ni funzo kwamba Allah anaadhibu hata kwa sisimizi kuktumia kukuathibu. Liwe funzo kwa viongozi wengine duniani kwamba Allah ni mkubwa na binaadam hakuna mbabe mbele ya mwengine
View: https://twitter.com/i/status/1783876214744109415video ya waziri akihema
Haisaidii hii. Ni sawa na maandamano ya Mbowe tu lkn mama anaendelea na mambo yake.
Eti gari kuegama kidogo waziri anatetemeka 🤠!