Live coverage on JamiiForums
Wote tunajua pale middle east Israel anapambana na magaidi Ili kujilinda na yeye kama taifa teule Kila siku anawatembezea kichapo ama kweli Israel ni taifa la mungu na sisi wakristo tunawaombea wakristo wenzetu washinde hii vita ya kutokomeza ugaidi ambao unaendelea pale middle east god bless Israel
 
Sio kwamba chanzo cha mgogoro ni kugombania ardhi ambayo israeli ilinyang'anya wapalestina hapo zamani?

Ninavyoelewa uingereza na UN waliwapa wayahudi ardhi yao, na wapalestina ardhi yao, israeli ikaanza kuwanyang'anya, ugomvi ukaanza.
 
We nani kakwambia Israel ni wakristo? Ndani ya Israel idadi ya wakristo ni ndogo kuliko Waislam na hawataki kuskia kuhusu ukristo pale
Tunalioombea TAIFA letu teule ni wakristo wenzetu kama imekuuma chomoa Ili usitoke damu
 
Huu upumbavu siwezi kufanya. Israel ya Leo ni Ashkenazi wahuni tu sio uzao wa Ibrahim
 

Wakristo gani unaowaongelea ndugu?

Mbona wengi tu hawakubaliani na ubazazi wa hao watu?
 
Mungu wa Israel ndiye Mungu. Libarikiwe jina la Mungu wa Yakobo; Mungu aliye hai; Mungu asiyeshindwa! Utukufu una yeye Bwana Mungu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…