LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.

Chanzo Taarifa: Al Jazeera News

Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.

Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.

Kudadadeki.
Wewe ni Myahudi? Maana kila taifa linatetea watu wa imani yake. Israel anaweka wazi kwamba anapigana vita kulinda watu wake ambao kiimani dini yao ni Uyahudi.
 
Wewe ni Myahudi ama Muislamu wa Israel?
 
Attachments

  • Screenshot_20241002_210538_ChatGPT.jpg
    Screenshot_20241002_210538_ChatGPT.jpg
    157.6 KB · Views: 3
"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.

Chanzo Taarifa: Al Jazeera News

Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.

Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.

Kudadadeki.
Vipi huyo Rais angesema Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Mapopoma wote! Nahisi ungekenua mpaka mapengo yako yote yangeonekana!
 
Mwanzisha mada huna hoja. Mimi ni mkristo lakini siungi mkono hoja.

Huyo Rais katumia uislam kama common denominator, ndio kitu pekee kinawaweka pamoja sana kuliko mengine. Hata hapa upinzani Kuna wakati wanaungana dhidi ya chama tawala.

Pili ni kweli kwamba baadhi ya historia inayowaunganisha waislam ipo eneo la vita na vinatishiwa kifutika hivyo kulikua na sababu ya kufanya hivyo.

Mwisho organisation onayowaunganisha wote middle East ni Uislamu hivyo kuitumia sio shida.

Kwa nini nasema sio shida hii ni vita ya sovereignty yao na sio vita ya udini.

Kila taifa linahaki ya kuwepo, kuheshimiwa na mipaka yake, watu wake na hata kuishi. Hivyo Kila mmoja anatetea mipaka yake na kuheshimiwa na maifa mengine. Hakuna vita ya udini
 
Hoja hii mimi naiunga mkono asilimia mia, kwa sbb hao makobaz wangelikuwa wanatambua umuhimu wa usalama na amani wasingeichokoza israel wa kuwarushia makombora mipakani mwao na kuleta maafa..hakika awamu hii chamoto watakiona, na mimi nasema wapigwe tu, maana hamna namna!
 
"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.

Chanzo Taarifa: Al Jazeera News

Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.

Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.

Kudadadeki.
1. Kwani wa-israel ni wakristo?
2. Kwani Hizi nchi anazipigania Iran hazina wakristo??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mwanzisha mada huna hoja. Mimi ni mkristo lakini siungi mkono hoja.

Huyo Rais katumia uislam kama common denominator, ndio kitu pekee kinawaweka pamoja sana kuliko mengine. Hata hapa upinzani Kuna wakati wanaungana dhidi ya chama tawala.

Pili ni kweli kwamba baadhi ya historia inayowaunganisha waislam ipo eneo la vita na vinatishiwa kifutika hivyo kulikua na sababu ya kufanya hivyo.

Mwisho organisation onayowaunganisha wote middle East ni Uislamu hivyo kuitumia sio shida.

Kwa nini nasema sio shida hii ni vita ya sovereignty yao na sio vita ya udini.

Kila taifa linahaki ya kuwepo, kuheshimiwa na mipaka yake, watu wake na hata kuishi. Hivyo Kila mmoja anatetea mipaka yake na kuheshimiwa na maifa mengine. Hakuna vita ya udini
Rubbish and Nonsensical.
 
"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.

Chanzo Taarifa: Al Jazeera News

Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.

Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.

Kudadadeki.
Endelea na kilimo cha bamia tu. Watumwa wa dini mnavuruga dunia kwa ujinga ujinga. 🤣🤣🤣🤣
 
Vita ya Wahajemi na Israel hazituhusu Wasizwa ni vile mmefundishwa toka enzi za Mwalimu vita ya Angola,Msumbiji ni ya Tanzania sasa mmeamua kuvuka hadi bahari..
 
"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.

Chanzo Taarifa: Al Jazeera News

Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.

Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.

Kudadadeki.
Hakuna uhalali wa kuua waislamu au wakristo
 
Wewe ni Myahudi? Maana kila taifa linatetea watu wa imani yake. Israel anaweka wazi kwamba anapigana vita kulinda watu wake ambao kiimani dini yao ni Uyahudi.
Watu wa Israel hawana dini Kila mtu ni sw , ila Kwa waarabu dini ya kiserikali ni uislam
 
Vita inayoendelea mashariki ya kati ina hali tata, IKO KISIASA NA KIDINI, kushabikia mauaji hii si sawa, sisi kama watanzania tuyaangalie haya yanayotokea kwa nchi za wenzetu kwa tahadhari kubwa , huku tukiyapinga yasije tokea kwenye nchi yetu,,,, kila mtu abaki na imani ya dini yake bila chuki,
Umeona mbali sana. Ukiangalia kwa mbali ni kama tumechelewa kuchukua tahadhari!!!
 
Watu wa Israel hawana dini Kila mtu ni sw , ila Kwa waarabu dini ya kiserikali ni uislam
Hujui lolote. Dini ya kwanza kwa ukubwa Israel ni dini ya Uyahudi ikifuatiwa na Uislamu halafu vinakuja muunganiko wa vidini vidogo vidogo.

Usipende kuonekana huna kitu kichwani jitahidi kuficha ujinga mkuu.

Vitu kama hizi unauliza tu kwenye vyanzo mbalimbali unapata majibu.

Pale Israel muislamu anaheshimika zaidi na anaonekana kuwa karibu zaidi na Myahudi kuliko mkiristo ambaye anakumbana na madhila mengi pale Israel.
 
Mungu huyu huyu ndie alie waruhusu kutoboa waandamanaji macho
View attachment 3113800

Mungu huyu huyu ndie aliwaruhusu kunyonga yoyote anae criticize serikali
View attachment 3113806

Mungu huyu huyu ndie aliewaruhusu kuua mabinti kisa tu wajafunika nywele zao.
View attachment 3113812

Mungu huyu ndie aliwaruhusu kuunda na kufadhiri vikundi vya kigaidi vinavyosababisha vifo duniani.
View attachment 3113823

Mimi nadhani mna Mungu wenu binafsi kama sio basi mnatumia kivuli cha Jina la Mungu wa kweli ili ku-glorify na ku-decriminilize ugaidi wenu.
Hizi propaganda za blackmailing ni za western media zinazo dakiwa na puppets en ignorant Africans kama wewe, unaweza uka djibitisha uhalali wa hizo pisha, acha kudandia propaganda za mabepari kijana.....
 
Walokole wengi wako very desperate, ndio maana hata kwa waganga utawakuta.
Hata tigo wanaliwa sana wakionyeshwa hela, wana excuse yao kwamba nitatubu, Mungu ni Mungu wa rehema na wala hamna dhambi kubwa isipokuwa kumkufuru roho mtakatifu tu.
 
Back
Top Bottom