Sio lazima lakini ni kigezo.
bado naendelea kuchimba hii vita siielewi kivile
Nilikuwa sijakusoma vyema nilidhani ni ndugu futiboli 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima lakini ni kigezo.
bado naendelea kuchimba hii vita siielewi kivile
Wote tunajua pale middle east Israel anapambana na magaidi Ili kujilinda na yeye kama taifa teule Kila siku anawatembezea kichapo ama kweli Israel ni taifa la mungu na sisi wakristo tunawaombea wakristo wenzetu washinde hii vita ya kutokomeza ugaidi ambao unaendelea pale middle east god bless Israel
Cha kushangaza waisrael sio wakristo. Ukiingia google uka search "percentage of christians in Israel" utapata maijbu. Ni 2% tu ya watu wa Israel ndio wakristo. Na hizo 2% wengi ni wahamiaji kutoka Ulaya. Waisrael hawamtambui Yesu na wengi hata kumjua hawamjui. Ingia youtube uangalie video za waisrael wakihojiwa juu ya Yesu, wengine wanasema wanasikia 'eti alikuwa Mungu wa wakristo'😂😂😂. Na ni mwaka jana Israel ilipitisha sheria ya kupiga marufuku kuhubiri ukristo hadharani. Lakini cha kudhanhza mikristo ya Afrika 'mikondoo ya bwana' inalazimisha kujiunganisha na Israel na eti kuiombea. Shenzeee😏😏😏Wote tunajua pale middle east Israel anapambana na magaidi Ili kujilinda na yeye kama taifa teule Kila siku anawatembezea kichapo ama kweli Israel ni taifa la mungu na sisi wakristo tunawaombea wakristo wenzetu washinde hii vita ya kutokomeza ugaidi ambao unaendelea pale middle east god bless Israel
Mungu kaumba Dunia ila kashindwa kuwaumbia kipande Cha kuwatosha hao Jamaa hapo Kati ?Iran si inatetea waarabu wenzao au nakosea wadau mnirekebishe😅
Unakuta mtu amewwke bendera ya isreli kwenye gari Lake eti analinda iman ya diniWakristo gani unaowaongelea ndugu?
Mbona wengi tu hawakubaliani na ubazazi hao watu?
Sawa msemaji wa jeshi la Iran Republic of BuzaIran itapiga DIMONA nuclear installations , High tech industries za Israel na Depot za Mafuta zote za Israel n.k
Wanaoweweseka ni magaidi wa Israel wanaopanga tarehe kila cku na hawachukui hatua, Iran wameshatindua Israel muda tu.Mbona kama hawa magaid wa iran ndio wanaweweseka?
Hicho Iran ndiyo anachosubiri ajaribu silaha zake.BIG NEWS 🚨 Israel has reportedly planned to strike Iran's nuclear and oil facilities.
US said Israel has a right to defend itself proportionately.
US preparing for more sanctions against Iran.
Will Iran lose everything to Israel? Iran is more scared now as Israel remains silent.
According to analysts, Israel's response would be more severe than what people are thinking.
Endless line of cars for gas station in Tehran, they know that Iran's Oil & Gas Infrastructure isn't going to last long if Israel will retaliate.
View attachment 3116894