LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Wote tunajua pale middle east Israel anapambana na magaidi Ili kujilinda na yeye kama taifa teule Kila siku anawatembezea kichapo ama kweli Israel ni taifa la mungu na sisi wakristo tunawaombea wakristo wenzetu washinde hii vita ya kutokomeza ugaidi ambao unaendelea pale middle east god bless Israel

Cha kushangaza waisrael sio wakristo. Ukiingia google uka search "percentage of christians in Israel" utapata maijbu. Ni 2% tu ya watu wa Israel ndio wakristo. Na hizo 2% wengi ni wahamiaji kutoka Ulaya. Waisrael hawamtambui Yesu na wengi hata kumjua hawamjui. Ingia youtube uangalie video za waisrael wakihojiwa juu ya Yesu, wengine wanasema wanasikia 'eti alikuwa Mungu wa wakristo'😂😂😂. Na ni mwaka jana Israel ilipitisha sheria ya kupiga marufuku kuhubiri ukristo hadharani. Lakini cha kudhanhza mikristo ya Afrika 'mikondoo ya bwana' inalazimisha kujiunganisha na Israel na eti kuiombea. Shenzeee😏😏😏
 
Mkristo wa Kweli anaombea Amani Mashariki ya Kati.
Mungu hafurahi wanadamu kuuana, kwa sababu kila roho ya mwanadamu ni ya thamani machoni pa Mungu hata iwe ya gaidi! Mungu hafurahi kuona Waisrael wanakufa! hafurahi kuona Wapalestina wanakufa,nk
Anayefurahia watu kufa ni Shetani ambaye tangu mwanzo alikuwa Muaji,(Yohana8:44)
Na usijidanganye eti Mungu yuko upande wo wote katika Vita inayoendelea Mashariki ya Kati.
MUNGU WETU NI MUNGU WA AMANI SIYO MUNGU WA MACHAFUKO,
(1 Wakorintho14:33)
 
Iran si inatetea waarabu wenzao au nakosea wadau mnirekebishe😅
Mungu kaumba Dunia ila kashindwa kuwaumbia kipande Cha kuwatosha hao Jamaa hapo Kati ?

Mungu kaacha nchi zenye mitona maziwa lukuki akaenda kuweka bustani Jangwani ? 😂

Warumi waje watuombe msamaha kwa kuiba Ethipopian Orthodox Bible na kuiedit hovyo hovyo.
 
Sisi kama wapenda Aman.duniani tunataka magaidi yote pale mashariki ya kati yakiongozwa na Ayatollah..ya tokomezwe mbali ndo maana myaudi anakula vichwa hana shida na Palestine Wala Irani ..yeshida yake nihawa viongozi wanao zalisha magaidi,
 
BIG NEWS 🚨 Israel has reportedly planned to strike Iran's nuclear and oil facilities.

US said Israel has a right to defend itself proportionately.

US preparing for more sanctions against Iran.

Will Iran lose everything to Israel? Iran is more scared now as Israel remains silent.

According to analysts, Israel's response would be more severe than what people are thinking.

Endless line of cars for gas station in Tehran, they know that Iran's Oil & Gas Infrastructure isn't going to last long if Israel will retaliate.

Bandugu akuna icho kitu msiote mchana akuna wakubwa akuna konjera yyte ohh mala USA anataka kumruusu lkn asipige pale na pale yote mapicha picha tu elimikeni Iran wakubwa kidunia ktk technology vita ni technology kuwa na jesh kubwaaaa au bondia kuwa na mwiri mkubwaa ndio kupata ushindi embu ona tyson na Bruno kama mwili ndio nguvu saaii tyson tushazika😆😆 mywether ajawai pigwa japo anakamwili kadogo. Si kila kitu ni akili ndio muimu. Na vita ni technology ndio inashinda sio kuwa na jesh kubwaa maviuma viuma makubwa mimeri mindege kama ayana technology bola ya kisasa ayana nafasi yyte ayakupi ushindi sababu adi sasa Iran anaonekana m'babe ki technology zaid Western yote. Kwaiyo sijui amapewa ruusa wapi, iyo vita media tu uyo USA mwenyewe atii mguu Iran sasa mnataka atoe ruhusa ikiwa yeye uwezo ana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
BIG NEWS 🚨 Israel has reportedly planned to strike Iran's nuclear and oil facilities.

US said Israel has a right to defend itself proportionately.

US preparing for more sanctions against Iran.

Will Iran lose everything to Israel? Iran is more scared now as Israel remains silent.

According to analysts, Israel's response would be more severe than what people are thinking.

Endless line of cars for gas station in Tehran, they know that Iran's Oil & Gas Infrastructure isn't going to last long if Israel will retaliate.

View attachment 3116894
Hicho Iran ndiyo anachosubiri ajaribu silaha zake.
 
Back
Top Bottom