LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Nyie waumini wa munyazimungu endeleeeni kujitia moyo,Ila cha Moto mtakiona
Screenshot_20240929-102628_1.jpg
 
Hivi unajua mwasisi, mfadhili mkuu wa ugaidi duniani ni taifa Gani? Ungelijua hilo usingeleta mada Yako.
 
Akifanya US sawa wakifanya wengine aaah kuna faida gan, we unadhani Iran bila hao jamaa atakaa kwa kutulia? Sasa saivi ndio itakua mbaya putin nae ataungana na iran kufadhili ugaidi munaousema
 
Akifanya US sawa wakifanya wengine aaah kuna faida gan, we unadhani Iran bila hao jamaa atakaa kwa kutulia? Sasa saivi ndio itakua mbaya putin nae ataungana na iran kufadhili ugaidi munaousema
Gaidi wa middle east anajulikana, hio settlers colonial state inayojiita Israel, military base ya U.S
 
Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Ishu ni kuwa Iran inatafuta namna ya kuweka vibaraka wao kwenye mataifa ya middle east.
Sasa uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana.
Afu Kuna ishu ya shia na suni. Iran wao ni shia. Ukiangalia vikundi vyote ni shia.
Ndo maana nchi zingine kama wasaudi hawawezi kukaa meza Moja na Iran maana nao ni suni.
Iran inajaribu sana kuangusha utawala wa Saudi Arabia.

T14 Armata
 
Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Kwa mtazamo wa Iran, hivyo ni vikundi halali kabisa vitakavyoisàidia Iran kuifuta Israel. Fahamu kuwa Iran mpaka leo haitambui uwepo wa Israel kama taifa. Na israel ikifutwa, Iran inafikiri itazidi kukubalika pale middle-east especially kwa wasunni walio wengi ambao mpaka sasa wanaiangalia Iran na ushia wake kimachale machale.
 
Kinachofanywa na Israel sasa hivi hakina tofauti na Ugaidi sasa wewe nikuulize USA na wanao support Israel wanafanya hivyo ili iweje ?

Kuna vita vya Ideology na vita hivyo kamwe huwezi kushinda kwa kutumia mabavu sababu kila unachofanya kinaongezea fodder watu wanaofanya recruitment.., na hiki anachoendelea kufanya Israel ni kutengeneza so called Magaidi wa Kesho....

Ndio maana tulianzisha United Nations (ili iwe referee wa mambo kama haya) lakini ndio hivyo either wakati mwingi haina meno au wakati mwingine kutumiwa kama nyenzo na kina USA...
 
Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Kupunguza nguvu ya USA na kutengeneza Balance of power

Kama ambavyo US inadhamini waasi wa Libya au Israel inavyodhamini waasi wa DRC na Sudan yote ni kulinda interest ya nchi zao kimataifa.
 
Back
Top Bottom