Live coverage on JamiiForums
Hayo ni mawazo yako binafsi sizani kama iran anaweza kufanya upuuzi kao huo anajua marekani anamtamani aiingie kwenye mtego kama huo
 
Hayo ni mawazo yako binafsi sizani kama iran anaweza kufanya upuuzi kao huo anajua marekani anamtamani aiingie kwenye mtego kama huo
Hivi hii kitu imekaaje!?
Mara nyingi sana nimekuwa nikiona hapa jukwaani kuwa USA anamtamani sana Iran, hivyo anatamani kuona Iran inaishambulia Israel ili apate sababu ya kumpiga. Kabisaaaa!? Yaani ina maana USA hajawahi kupata sababu ya kumpiga Iran mpaka asubirie Israel ishambuliwe direct na Iran!?
Iran hajawahi kushambulia direct ama indirect maslahi ya USA!?
Je, USA akiingilia ugomvi wa Iran na Israel kwa kuishambulia Iran, nchi rafiki za Iran (sidhani kama kuna haja ya kuzitaja, maana zinajulikana na mojawapo inamuweza vizuri tu USA) zitakaa kuangalia USA akiingilia ugomvi usiomhusu na kuipiga Iran!?
 
Wewe ndio umeongea point akingilia WW3 inanza uwakika
 
Iko hivi vikundi vyote hivyo vya Kigaidi vinavyosumbua mashariki ya kati mfadhiri wao mkubwa ni IRAN . Wanasema ukitaka kumuua nyoka pika kichwa ndo kinachotafutwa .
 
Iko hivi vikundi vyote hivyo vya Kigaidi vinavyosumbua mashariki ya kati mfadhiri wao mkubwa ni IRAN . Wanasema ukitaka kumuua nyoka pika kichwa ndo kinachotafutwa .
Wow, kumbe hili lipo wazi kiasi kwamba hadi watu wa Tanganyika wanalifahamu. Sasa iweje USA asubiri mpaka Iran aishambulie Israel direct ili apate excuse ya kumpiga Iran? Wakati dunia nzima hadi wewe Mtanganyika unajua kuwa Iran ndio mfadhili wa vikundi VYOTE vya ugaidi vinavyosumbua mashariki ya kati?
 
Nilichojifunza kwa matukio kadhaa ambayo Israeli anamfanyia Iran ni Iran ni sawa na wale mbwa ana mikwara mingi ya kubweka akiwa karibu na mlango, ukikaza surq ukasogea anakunja mkia matakoni analaza.
Kwa maandishi haya, hakuna ulichojifunza.
 
Iran has reportedly postponed their planned retaliatory strike on Israel because they don’t want to start a regional war.

The news came the day after Tehran grounded all flights due to military maneuvers

Wameoma waweke mpira kwapani
 
Vita ikianza ayatollah atapata wapi muda wa kutana ile midevu[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…