LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Hadi wafike walau laki Moja ndio wayahudi watatulia. Waislamu endeleeni kuchekelea kama October 7 mwaka Jana mlipo kua mnashangilia maroket yanapo ruka. Unaua waisrael unategemea nini kwa mfano!!!
 
Naona humu kuna watu wana roho mbaya kwelikweli. Kweli udini ni sumu, unaondoa utu kabisa

Unawezaje kufurahia genocide?
 
sio roho mbaya. Hii walitaka wenyewe Israel walikuwa wametulia zao, hao jamaa zenu wakavamia na kuua kisha kuteka raia ulitegemea wajibiwe vipi?

Hata hivo Israel wanapopiga huwa wanatoa evacuation notice ukiwa mbishi litakupata la kukupata.
 
Go wayahudi gooooo! Wakufe wote hao mazombi wa gaza. October 7 hawatoisahau tena hao vichwa panzi
 
sio roho mbaya. Hii walitaka wenyewe Israel walikuwa wametulia zao, hao jamaa zenu wakavamia na kuua kisha kuteka raia ulitegemea wajibiwe vipi?

Hata hivo Israel wanapopiga huwa wanatoa evacuation notice ukiwa mbishi litakupata la kukupata.

Tena vijana wadogo tu walikuwa kwenye party dah! Hamas inabidi ifutwe mazima.
 
WHOA! Yemen launches missile at Israel - Exoatmospheric ! ! ! !​

Hal Turner World October 07, 2024
WHOA!  Yemen Launches Missile at Israel - Exoatmospheric ! ! ! !

The group Ansarallah (Houthis) in the country of Yemen, launched a hypersonic missile toward Israel this morning (US time) and it was intercepted . . . . OUTSIDE Earth's atmosphere!

The hypersonic missile was intercepted by Israel's "ARROW" missile defense system.

The interception took place outside earth's atmosphere.

Someone has supplied the Houthis in Yemen with some of the most advanced missile technology known to mankind!

When the missile was fired, and went outside Earth's atmosphere, Air Riad Alerts went out for the entire country of Israel because, officials say, from space, that missile could strike literally anywhere in Israel.Yes,matters geopolitically are quickly spinning out of control, globally.
 
It should be known to everyone that Israel is a blessed country having people with the highest IQ.
 
WHOA! Yemen launches missile at Israel - Exoatmospheric ! ! ! !​

Hal Turner World October 07, 2024
WHOA! Yemen Launches Missile at Israel - Exoatmospheric ! ! ! !

The group Ansarallah (Houthis) in the country of Yemen, launched a hypersonic missile toward Israel this morning (US time) and it was intercepted . . . . OUTSIDE Earth's atmosphere!
The hypersonic missile was intercepted by Israel's "ARROW" missile defense system.
The interception took place outside earth's atmosphere.
Someone has supplied the Houthis in Yemen with some of the most advanced missile technology known to mankind!
When the missile was fired, and went outside Earth's atmosphere, Air Riad Alerts went out for the entire country of Israel because, officials say, from space, that missile could strike literally anywhere in Israel.Yes,matters geopolitically are quickly spinning out of control, globally.
Imepanguliwa
 
tuendelee kuwaombea Israel(TAIFA TEULE)..

israel_gay_pride1_wide-e9db615c11cfb1785dced7dcf4e6f6203718749f.jpg
Taifa teule si hii Israel ya sasa,amkeni.Israel tunayoiona leo is fake.Ombea Waisraeli wakweli,akina Netanyahu wameiba identy ya true Jews,ni wahuni tu.Soma Ufunuo 2:9 na 3:9 chini,Bwana Yesu ameliweka jambo hili wazi.Mnaowaita Watumishi nao hawalijui Neno la Mungu,ni viongozi vipofu kama ninyi,kwa hiyo wamewaingiza shimoni,yaani kwenye imani potofu,poleni.

Ufunuo wa Yohana 2:9
9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Ufunuo wa Yohana 3:9
9 Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
 
WHOA! Yemen launches missile at Israel - Exoatmospheric ! ! ! !​

Hal Turner World October 07, 2024
WHOA!  Yemen Launches Missile at Israel - Exoatmospheric ! ! ! !
Kila mmoja anafurahia kile anachoona kwake ni mafanikio. Tanzania ikirusha communication satellite, bila kujali mawasiliano yatakubali au yatagoma itakuwa imefanikiwa, lakini Marekani hadi lengo la hiyo satellite lifikiwe ndio itaona imefanikiwa. Yemen na wafuasi wa imani yake wanafurahi kurusha kombola angani maana wamefanikiwa, while Israel inajipima mafanikio kwa kuua makamanda na viongozi waandamizi wa Iran, Hamas na Hezbollah
 
sio roho mbaya. Hii walitaka wenyewe Israel walikuwa wametulia zao, hao jamaa zenu wakavamia na kuua kisha kuteka raia ulitegemea wajibiwe vipi?

Hata hivo Israel wanapopiga huwa wanatoa evacuation notice ukiwa mbishi litakupata la kukupata.

hao watoto waliouliwa walitaka wenyewe?
Hebu kaa chini utafakari, usiwe shabiki wa kuhalalisha genocide
 
ndio maana tunasema amani ni jambo muhimu sana, maana akili na ujeuri Kila mtu anao duniani hapa.

Unaweza ukajifanya you are the best, ukawaonea wenzako kila kukicha ila ipo siku wanaweza kupata dawa yako wakaipenyeza na kukumaliza.
 
Back
Top Bottom