Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Umesoma shule za kata?Habari inasema October 7, lakini imetoka kabla ya hio Oct 7 au ni typing error
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma shule za kata?Habari inasema October 7, lakini imetoka kabla ya hio Oct 7 au ni typing error
Bandugu akuna icho kitu msiote mchana akuna wakubwa akuna konjera yyte ohh mala USA anataka kumruusu lkn asipige pale na pale yote mapicha picha tu elimikeni Iran wakubwa kidunia ktk technology vita ni technology kuwa na jesh kubwaaaa au bondia kuwa na mwiri mkubwaa ndio kupata ushindi embu ona tyson na Bruno kama mwili ndio nguvu saaii tyson tushazika😆😆 mywether ajawai pigwa japo anakamwili kadogo. Si kila kitu ni akili ndio muimu. Na vita ni technology ndio inashinda sio kuwa na jesh kubwaa maviuma viuma makubwa mimeri mindege kama ayana technology bola ya kisasa ayana nafasi yyte ayakupi ushindi sababu adi sasa Iran anaonekana m'babe ki technology zaid Western yote. Kwaiyo sijui amapewa ruusa wapi, iyo vita media tu uyo USA mwenyewe atii mguu Iran sasa mnataka atoe ruhusa ikiwa yeye uwezo ana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
BIG NEWS 🚨 Israel has reportedly planned to strike Iran's nuclear and oil facilities.
US said Israel has a right to defend itself proportionately.
US preparing for more sanctions against Iran.
Will Iran lose everything to Israel? Iran is more scared now as Israel remains silent.
According to analysts, Israel's response would be more severe than what people are thinking.
Endless line of cars for gas station in Tehran, they know that Iran's Oil & Gas Infrastructure isn't going to last long if Israel will retaliate.
View attachment 3116894
Sijakuelewa! Kwamba Marekani akipigana na Iran,Iran atashinda kwa kuwa yuko vzr ki technology au? Kwa maneno mengine Marekani anamwogopa Iran sio?Bandugu akuna icho kitu msiote mchana akuna wakubwa akuna konjera yyte ohh mala USA anataka kumruusu lkn asipige pale na pale yote mapicha picha tu elimikeni Iran wakubwa kidunia ktk technology vita ni technology kuwa na jesh kubwaaaa au bondia kuwa na mwiri mkubwaa ndio kupata ushindi embu ona tyson na Bruno kama mwili ndio nguvu saaii tyson tushazika😆😆 mywether ajawai pigwa japo anakamwili kadogo. Si kila kitu ni akili ndio muimu. Na vita ni technology ndio inashinda sio kuwa na jesh kubwaa maviuma viuma makubwa mimeri mindege kama ayana technology bola ya kisasa ayana nafasi yyte ayakupi ushindi sababu adi sasa Iran anaonekana m'babe ki technology zaid Western yote. Kwaiyo sijui amapewa ruusa wapi, iyo vita media tu uyo USA mwenyewe atii mguu Iran sasa mnataka atoe ruhusa ikiwa yeye uwezo ana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Alisikika Mpuuzi mmoja tokea Namtumbo akisemaIsrael katulia , ila Iran wanahaha wenyewe
Sitegemei kuona shambulio lolote la maana la Israel kwenda Iran ikiwa USA hajakuwa tayari kuingia vitani na IRAN.Tukumbuke IRAN ameonyesha uwezo wa kupiga ISRAEL targets kwa usahihi mzuri kabisa.Uharibifu wa makombora ya juzi ni ukumbusho makubwa yanaweza kuwatokea.Tukumbuke IRAN wana maelfu kadhaa ya makombora ya Hypersonic ambayo hayazuiliki na yana destructive power kubwa zaidi ya hizo ballistic missile za juzi.Hivi ingekuwa na IRAN na wao wanapiga hovyo kwenye makazi ya watu ,ile juzi maelfu mangapi ya raia wa Israel wangeathirika?Israel na western media walijaribu kuficha ukweli na kudanganya mabomu yalizuiwa lakini TIK TOK ikawaumbua.Kuna raia wengi wa Israel walirekodi live makombora yakishambulia kambi za jeshi na makao makuu ya MOSSAD.Hata BBC ikabidi na wao waone aibu waende na ukweli halisi.Jionee mwenyewe.BIG NEWS 🚨 Israel has reportedly planned to strike Iran's nuclear and oil facilities.
US said Israel has a right to defend itself proportionately.
US preparing for more sanctions against Iran.
Will Iran lose everything to Israel? Iran is more scared now as Israel remains silent.
According to analysts, Israel's response would be more severe than what people are thinking.
Endless line of cars for gas station in Tehran, they know that Iran's Oil & Gas Infrastructure isn't going to last long if Israel will retaliate.
View attachment 3116894
Wewe Umezaliwa Mwaka Gani? Ukumbuki Israel Alishawahi kushambulia vinu vya Nyuklia vya Irani? Au Ulikuwa Ujazaliwa?Kitu pekee ambacho Israel ataweza dhidi ya Irani,ni kumfatilia mtu moja moja na kumuua-hana uwezo wa kuishambulia Irani maana siku akifanya hivyo ndio itakuwa mwisho wake kwenye ramani ya Dunia.
Abraham accords hairuhusu hiliWe know Aljazeera wapo vitani na wao.. Qatar ndio wafadhiri wa Hamas and ndio wana say yote.. Israel anatakiwa aifumue na Qatar pia.. Israel hatakiwi kabisa kudeal na muslim countries hakuna anayempenda ipo katika quran kabisa.
Huo uongo wa Aljazeera na list ya kipumbavu wampelekee Allah... aandae makahaba kwenye ndanguro lake Firdaus .. The Pimp Allah