Live coverage on JamiiForums
Hadi taarifa imefika huku,,,,,,jamaa wanapendaga kushtukiza ...ila acha tuone
 
Nyoooonzooooo nyonzooo maamaee nyonzooo bin mvule nyoooonzooooo Nyonzo bin mvule
Your browser is not able to display this video.


Nyau de adriz
 
Wameamuwa leo.
Hi miaka yote hatuoni Iran anavyoshambuliwa?

Wasiyoyaona hayo ni kondoo tu.
 
Unaota ukiwa wapi mkuu
 
Story ya kwanza ilikuwa hawezi kuingiza Jeshi Gaza, kule ni hatari tupu, kaingiza na Hamasi wamepoteana vibaya. Tukaambiwa Hezbollah ni jeshi matata sana, Israel asilogwe aanze nao vita. Israel kaingia, ndani ya kupigo cha wiki, Hezbollah wameomba vita iishe na wako tayari kutimiza azimio la Umoja wa Mataifa lililowataka kuondoka mpakani na Israel. Kituo kinachofuata ni kwa wale wavaa madela na mawigi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…