LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Hiyo page intoa taarifa huko...

FYI Mimi ni analyst wa hivi event za kimataifa, niko macho Tangu Juzi.
Wewe endelea kubisha lakini habari ndiyo hiyo! Habari hizo zipo mpaka kwenye vyombo vya habari kama Aljazeera.

Isitoshe msemajo wa jeshi la IDF ametoa ripoti ya awali na kuonyesha kuna maeneo wameshambuliwa.

Sasa wewe nani unabisha?
 
Msemaji amesema monor damage near dinoma and mtoto wa 10 year Arab kaumia baada ya kuchomwa na ncha ziliizoanguka baada ya mlipuko angani
Mbona mnapenda ubishi jamani!

Ramon airbase imepigwa na missile.

Hesabu mwenyewe missile ngapi zimepiga hapo!
 
Attachments

  • jacksonhinklle_20240414__1779312086444646792_1_17793120382814003210.mp4
    410.3 KB
🚨🇮🇷BREAKING - IRAN: "THE NEXT SLAP WILL BE STRONGER"

A new allegedly government-funded mural in Palestine Square in Tehran was unveiled tonight after Iran launched hundreds of drones, missiles, and rockets at Israel with the hebrew text:

"The next slap is stronger...

The next mistake they make will be the end of your fake country."

Source: Nournews
 
🇮🇷🚀 A Night Israel will not forget.
Iran has presented its Gift to Israel

More than 200 Missiles were launched. Majority of which succeeded in hitting its targets.

The operation is yet to be finished !!
 
What an amaizing night?⚡⚡⚡⚡🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Usiku mtamu kuwahi kutokea......Niliyoyashuhudia usiku wa leo ni makubwa kuwahi kutokea kushuhudiwa kabisa
Achana na hawa watu waitwao waajemi kabisa hawa jamaa ni noma kinoma

Israel hatokaa aje kusahau hichi kipigo cha leo
 
🚨🇮🇷BREAKING - IRAN: "THE NEXT SLAP WILL BE STRONGER"

A new allegedly government-funded mural in Palestine Square in Tehran was unveiled tonight after Iran launched hundreds of drones, missiles, and rockets at Israel with the hebrew text:

"The next slap is stronger...

The next mistake they make will be the end of your fake country."

Source: Nournews
Ok rudi kwake mwambie asubiri zamu yake..
 
BREAKING:Wameogopa
Mazungumzo ya Israel na Marekani kwa njia ya simu yamalizika....USA waiambia Israel isijibu shambulizi kwa kugusa ardhi ya Iran
Israeli media: The conversation between Biden and Netanyahu has ended, and the American president asked “Israel” not to respond with an attack on Iranian territory
 
🚨🇺🇸BREAKING: BIDEN TO ISRAEL - DO NOT RESPOND TO IRAN

Israel Media:

"The conversation between Biden and Netanyahu has ended.

The President of the United States asked the Prime Minister of the Zionist regime to refrain from responding to Iran's retaliatory attack."

Source: NOURNEWS
Photos: Archived
 
What an amaizing night?⚡⚡⚡⚡🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Usiku mtamu kuwahi kutokea......Niliyoyashuhudia usiku wa leo ni makubwa kuwahi kutokea kushuhudiwa kabisa
Achana na hawa watu waitwao waajemi kabisa hawa jamaa ni noma kinoma

Israel hatokaa aje kusahau hichi kipigo cha leo

Umeshuhudia nini? Ulikuwa Tel Viv au Jerusalem au Tehran?
Was you seeing it live?

Or you just believe mainstream media?
 
Mazungumzo ya Israel na Marekani kwa njia ya simu yamalizika....USA waiambia Israel isijibu shambulizi kwa kugusa ardhi ya Iran
Israeli media: The conversation between Biden and Netanyahu has ended, and the American president asked “Israel” not to respond with an attack on Iranian territory
Hamna kitu ni woga tu huo, wajibu waone
 
🚨🇺🇸BREAKING: BIDEN TO ISRAEL - DO NOT RESPOND TO IRAN

Israel Media:

"The conversation between Biden and Netanyahu has ended.

The President of the United States asked the Prime Minister of the Zionist regime to refrain from responding to Iran's retaliatory attack."

Source: NOURNEWS
Photos: Archived
Hao waongo, lao moja.

Wanacheza game ya "good cop bad cop".
 
Back
Top Bottom