Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe endelea kubisha lakini habari ndiyo hiyo! Habari hizo zipo mpaka kwenye vyombo vya habari kama Aljazeera.Hiyo page intoa taarifa huko...
FYI Mimi ni analyst wa hivi event za kimataifa, niko macho Tangu Juzi.
Mbona mnapenda ubishi jamani!Msemaji amesema monor damage near dinoma and mtoto wa 10 year Arab kaumia baada ya kuchomwa na ncha ziliizoanguka baada ya mlipuko angani
Mkuu huna haja ya kuwajibu hao majinga wawili hapo juu huoni mimi nimewapuuza?Wao hata uwaambie vipi watabisha achana nao tu....Mbona mnapenda ubishi jamani!
Ramon airbase imepigwa na missile.
Hesabu mwenyewe missile ngapi zimepiga hapo!
Ok rudi kwake mwambie asubiri zamu yake..🚨🇮🇷BREAKING - IRAN: "THE NEXT SLAP WILL BE STRONGER"
A new allegedly government-funded mural in Palestine Square in Tehran was unveiled tonight after Iran launched hundreds of drones, missiles, and rockets at Israel with the hebrew text:
"The next slap is stronger...
The next mistake they make will be the end of your fake country."
Source: Nournews
What an amaizing night?⚡⚡⚡⚡🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Usiku mtamu kuwahi kutokea......Niliyoyashuhudia usiku wa leo ni makubwa kuwahi kutokea kushuhudiwa kabisa
Achana na hawa watu waitwao waajemi kabisa hawa jamaa ni noma kinoma
Israel hatokaa aje kusahau hichi kipigo cha leo
Hamna kitu ni woga tu huo, wajibu waoneMazungumzo ya Israel na Marekani kwa njia ya simu yamalizika....USA waiambia Israel isijibu shambulizi kwa kugusa ardhi ya Iran
Israeli media: The conversation between Biden and Netanyahu has ended, and the American president asked “Israel” not to respond with an attack on Iranian territory
Hao waongo, lao moja.🚨🇺🇸BREAKING: BIDEN TO ISRAEL - DO NOT RESPOND TO IRAN
Israel Media:
"The conversation between Biden and Netanyahu has ended.
The President of the United States asked the Prime Minister of the Zionist regime to refrain from responding to Iran's retaliatory attack."
Source: NOURNEWS
Photos: Archived
Jionee na wewe, main stream media zote banned kuleta hivi vitu:Umeshuhudia nini? Ulikuwa Tel Viv au Jerusalem au Tehran?
Was you seeing it live?
Or you just believe mainstream media?