LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
OGOPA USHIRIKIANO WA US, UK, NA FRANCE plus NATO hatari Sanaa Usimuamini Kabisa MCHINA, RUSSIAN NA NORTH KOREA Hawa Watu hawajawahi Kushirikiana Kwenye Vita vya uhalisia hawakawii Kukuacha Mwenyewe Maana Wanamarisha uchumi Wao Ili wawe Juu Ya US Kiuchumi Sio Rahisi kumuingiza Mmoja Wapo Kichwa kichwa Kwenye Vita visivyobIsha Mfano (Ukren)
 
Dela la Ayatollaah linaenda kuvuliwa hadharani, Myahudi hajawahi shindwa, Iran itawaka moto, nilisema humu watu viburi waksema Israel hana uwezo wa kulipiza kisasi, yaani Tehran itapigwa na hawawezi kuzuia mabomu hawana mfumo imara wowote, hii ligi bado mbichi, Iran inaenda kuwa Iraq or Libya or Aghanistan

US lead NATO members wengi UK, France, Germany, Canada, wote wataingia na kumpiga Iran vibaya, Russia na China hawata dhubutu kutia mguu kum support Iran, subiri muone moto wake..!!
 
Inaonekana Israel ni kama Underdog, but never underestimate her, Zionist are dare minded to confront any one who comes after their beloved territory, They have ever never been cowardly (😂) to defend the origination of Zionist.
 
Kazi ipo, ila naona hii itazaa may be WWW3 ambacho hakijulikani ni Iran ana SILAHA gani za maangamizi

Maana Yuko tayari kuzitumia
Hivi nyie mkishashiba ugali huwa mnaongea tu mnavyojisikia.

Vita vya dunia ashindwe kusababisha Urusi huko Ukraine waje wasababishe hao wajinga wawili tu?

Muwe mnalala tu kama mmeshiba sana.
 
Back
Top Bottom