LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Israel kukubali kuogeshwa na mvua ya marocket kutoka Iran bila kujibu mashambulizi ni kuufyata mkia?
Zile sita zimeisha? Maana ndio mada za kwenye tarawei

Hivi muizrael ndio wa kutishwa na mafataki kama wanayoyalipua wahindi wakisherekea sherehe zao? Yangekuwa mabomu si yangedondosha nyumba hata Moja. Apeleke mbali Tisha toto
 
Zile sita zimeisha? Maana ndio mada za kwenye tarawei

Hivi muizrael ndio wa kutishwa na mafataki kama wanayoyalipua wahindi wakisherekea sherehe zao? Yangekuwa mabomu si yangedondosha nyumba hata Moja. Apeleke mbali Tisha toto
Weye myahudi wa buza ushapata baraka?
 
Hiyo Iran yako inapigana na mdomo sana. Yaan rocket zote down. Hakuna skills hapo ni kelele tu. Vita IPI hapa duniani Iran alishashinda? Nitajie moja tu.
-Mapinduzi ya 1979
-Iraq-Iran war 1980-1988.
-Operation za kumbakisha Assad Syria.
Vipi una swali lingine!?
Usisahau pia alimsaidia Houthi Yemen dhidi ya Saudi Arabia na US na pia alimsaidia hizbollah 2006 dhidi ya Israel.
Na mission zote succesful.
 
OGOPA USHIRIKIANO WA US, UK, NA FRANCE plus NATO hatari Sanaa Usimuamini Kabisa MCHINA, RUSSIAN NA NORTH KOREA Hawa Watu hawajawahi Kushirikiana Kwenye Vita vya uhalisia hawakawii Kukuacha Mwenyewe Maana Wanamarisha uchumi Wao Ili wawe Juu Ya US Kiuchumi Sio Rahisi kumuingiza Mmoja Wapo Kichwa kichwa Kwenye Vita visivyobIsha Mfano (Ukren)
Ni ujinga au ni nini? Unasema Russia China na North Korea hawajawahi shirikiana?
Vita ya Korea alipigana babaako?
 
Dela la Ayatollaah linaenda kuvuliwa hadharani, Myahudi hajawahi shindwa, Iran itawaka moto, nilisema humu watu viburi waksema Israel hana uwezo wa kulipiza kisasi, yaani Tehran itapigwa na hawawezi kuzuia mabomu hawana mfumo imara wowote, hii ligi bado mbichi, Iran inaenda kuwa Iraq or Libya or Aghanistan

US lead NATO members wengi UK, France, Germany, Canada, wote wataingia na kumpiga Iran vibaya, Russia na China hawata dhubutu kutia mguu kum support Iran, subiri muone moto wake..!!
Kwanini hawawezi kuingilia kumsapot Iran?
 
Kwani Iran Hana Nukes?
Kwani Iran hana Nuclear nyie oteni tu
Iran hana Nukes..
Alikuwa anajaribu kurutubisha, Israel akateketeza vinu na kuuwa scientists waliokuwa wanahusika.

Israel is the only Nukes power in the Middle East.

Ni nchi 9 tu duniani zinamiliki NUKES, ikiwemo Israel..

Nuclear weapons are still here—and they're still an existential risk.

Nine countries possess nuclear weapons:-
The United States, Russia, France, China, the United Kingdom, Pakistan, India, Israel, and North Korea.

In total, the global nuclear stockpile is close to 13,000 weapons.
 
Do they have any choice..?!
Nafikiri ushauri wa Biden ni mzuri mzaidi. Wachukulie ile nguvu kubwa ya kupunguza madhara makubwa ndani ya ardhi yao Israel waichukulie ushindi tosha.

Marekani inatambua nguvu waliyonayo Iran kwa sasa hivi pale mashariki ya kati ni kubwa. Nguvu yao kijeshi ni kubwa na kiushawishi ni kubwa pia. Kwa jicho pevu si salama. Si salama kwa maslahi ya Marekani tu bali kwa dunia.

Iran inamiliki njia kuu ya uchumi ambayo ni muhimu sana tangu kale kwa maana historia ndiyo inathibitisha hivyo! Strait of Hormuz.

Hii ni njia muhimu sana kibiashara. Inaunganisha bara la Asia na Ulaya. Vilevile ni njia ya kusafirisha mafuta kutoka mashariki ya kati kwenda mataifa mengine duniani.

Kisasi wakitaka kulipa Israel walipe. Ila wasilipe ndani ya ardhi ya Iran. Again, mimi nasimama na msimamo wa Biden, nauona ni mzuri mzaidi. Kaona mbele zaidi kwa kuangalia uhalisia wa mazingira ya sasa.
 
Back
Top Bottom