LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Umesahau yule bwana Mungu mtu wako ambaye alishakua mifupa mikavu kule chattu[emoji28][emoji23]vp ushazikwa nae?
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini hadi unanena kwa lugha sasa

Kipigo kimekuchanganya

Unaambiwa kombora lilimlenga moja kwa moja kupitia dirisha huyo gaidi wenu

[emoji1134][emoji1130]The building in northern Tehran where Hamas political leader Ismail Haniyeh was killed. The missile hit the target through the window and hit Hania directly. Traces of an impact on the building are visible.
IMG_20240731_235324_457.jpg
 
In the previous Iranian retaliation strike on the Israeli Syrian consulate assassination, Iran's goal was to establish deterrence to prevent Israel from repeating the mistake of striking Iranian territory.

Israel was not deterred because they just struck Iran again.

So this time, the response should be to inflinct enough damage on Israel so that if Israel does not respond in a proportional manner, Israel would be feeling defeated and bleeding. The response will hurt and show readiness to continue with more strikes if Israel doesn't accept the loss.

This is threading on the edge of total war - either Israel accepts a huge loss or expands the war further.
 
Ningefurahi sana vikundi vinavyoiunga mkono Palestina, kwanza kabisa vingefanya mapinduzi Jordan, Saudi Arabia, Egypt na UAE.

Mzizi wa fitna ungebaki mmoja tu.
Ni suala la Muda tu, wananchi wa hizo nchi ulizotaja itafika mahali watawaondoa hao watu
 
Walistahili kufa wale wapuuzi walikua wanafanya kazi kuwasaidia IDF
Una ushahidi,? acha roho mbaya, we sema tu vita haina macho, dini inawapofusha, subiri Iran ajichanganye ndo mtaijua Israel ni nani? Kwa mara nyingine civilization ya Iran na maendeleo yake yanaenda kuharibika, kama si wehu wa waarabu unawezaje kuvamia nuclear state? Utashinda je vita nchi yenye nyuklia? Unaona jinsi NATO wanavyomuogopa NATO si kingine bali ni silaha za nyuklia. Sasa subiri Iran ajichanganye
 
Mbona unaongea Kama wewe ni muisrael
 
Ningefurahi sana vikundi vinavyoiunga mkono Palestina, kwanza kabisa vingefanya mapinduzi Jordan, Saudi Arabia, Egypt na UAE.

Mzizi wa fitna ungebaki mmoja tu.
Mta wish sana bila mafanikio. Hiyo Quran yenu imewaingiza chaka ati kabla ule mwisho haujaja waislamu wataua wayahudi wote. Either, Mohammad alijitungia tu mwenyewe hiyo Quran au Allah aliyemtuma kuileta ni kajimungu ka uongo. Na lazima hii vita mtachakazwa tu ili Quran yenu ithibitike ni UONGO
 
mambo ya visasi haya ndio yalisababisha rais wa iran akafa akaapishwa mwingine sherehe iliopelekea boss wa hamas kudanja na saiv nadhan ni supreme leader anaelekea kuzimu
 
mambo ya visasi haya ndio yalisababisha rais wa iran akafa akaapishwa mwingine sherehe iliopelekea boss wa hamas kudanja na saiv nadhan ni supreme leader anaelekea kuzimu
I have the same feelings too, kwa precision hii, nafikiri Mosaad wana mzoom tu ila hawajampatia strong and legitimate reason kumpaisha mawinguni akakutane na mabikira 72
 
Back
Top Bottom